ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Hv huoni hapo kuna Ant tank guided missiles(ATGM) au?!Kazi kweli, sasa wewe kifaru cha Merkava kustage grenades za RPG ndio mafanikio makubwa?
Hv huoni hapo kuna Ant tank guided missiles(ATGM) au?!Kazi kweli, sasa wewe kifaru cha Merkava kustage grenades za RPG ndio mafanikio makubwa?
Hahahahah.... Doh... Sio kwa kunisingizia huko mkuu.Hahaha Hakuna kitu kinachokukera kama usikie mrusi kafanya kitu flani..kiwe cha zamani au kipya..awe katumia tech ya miaka Mia iliopita au tech mpya.. Nahisi Hua unapita kwenye ili jukwaa mda ote ukitafuta nani kapost kuhusu urusi ili upinge tu...ata pro us wenzio hawapo hivo
Kwani unadhan Mrusi hakuwasaidia hao waarabu?!Walipigana na Warabu wanafki unazani hiyo 1967mmarekani akumsaidia?
hahahaha.... Aliekuambia iyo story mpaka umeiamini nampa hongera zake..Hivyo vifaru hata TANZANIA vipo vya kutosha.
Kwenye maonesho pale uwanja wa taifa huwa vinapita sana..
Sema tu serikali yetu haipendi kuanika mambo yake hadharani kawa kutoa statistics kuhusu uwezo wa vifaa vinavyopita pale taifa..
Lakini unaambi wa vile vifaru si vya sayari hii
kinacho nifurahisha bbc wamesema kinachowapa wasiwasi NATO,lakini wewe inaonekana unajua zaidi kuliko bbc..ipo siku watasema Putin kajinyea lakini ww useme hapo hakuna jipya ata maraisi wa marekani wameshajinyea sababu ya kupinga kila kitu..vingine acha vipite kimya tu boiKwsni Armata ina nini cha ajabu?!
Kama hyo mifumo ya kujilinda hata Merkava inayo, tena Merkava tumeviona kwenye vita na Hezbollah ilivykua ikipangua maRPG ya hao wanamgambo(Hezbollah)
Makombora yalirushwa zaid ya 500+,52 ndo yakafanikiwa kupiga.. It means zaid ya makombora 448 yalidakwa na Merkava bado unasema sio mafanikio makubwa?!mkuu hizo merkava si zilipigwa sana tu na hezbollah?
52 zilipigwa, 5 zikalipuka kabisa hazifai na 22 makombora yaliingia hadi ndani.
na kipindi hezbollah wanapiga israeli almost 23% (according to wikipedia) yalikuwa yanatua kwenye miji mikubwa ya israeli, israeli alihamisha raia wengi tu, hawakuwa na technology yoyote ya kuyazuia hayo makombora.
hao ni washirika tu na si urusi yenyewe, kwa nchi kama israeli bila msaada wa marekani hawezi dumu hata mwezi kupigana na urusi, itachakazwa nchi nzima.
hua nasoma sana kwenye ili jukwaa japokua sio mchangiaji sana..yani hua nikiona title inasifia mrusi hua nasema lazima ze kikuyo nimkute humu..nimefungua huu uzi nikiwaza piga ua lazima nimkute ze kokuyo na kweli nimekukuta hahahahaHahahahah.... Doh... Sio kwa kunisingizia huko mkuu.
Mkuu hili jukwaa ni la kuelezana kwa lengo la kujifunza zaid, lengo si kupinga bali ni kujifunza zaid na zaid. Halfu si kweli kwamba napinga kila kitu afanyacho mrusi mbona vingine nasifiaga mkuu[emoji38] .... Unanionea ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unadhani NATO ni Marekani pekee?!kinacho nifurahisha bbc wamesema kinachowapa wasiwasi NATO,lakini wewe inaonekana unajua zaidi kuliko bbc..ipo siku watasema Putin kajinyea lakini ww useme hapo hakuna jipya ata maraisi wa marekani wameshajinyea sababu ya kupinga kila kitu..vingine acha vipite kimya tu boi
mkuu Ukraine sio mwanachama wa NATOMi nijuavyo Urusi ni hatar na siyo Mmarekan,Mrusi anapambana na Nchi 28 zenye nguvu kiuchumi,Mmarekan akitaka kufanya jambo anatafuta washirika(vibaraka wake),vita vyote alivyovianzisha anategemea vibaraka wake,mfano Libya,Iraq,fghanistan na sasa Syria,Urus yeye akianzishs vita yu-mwenyewe,Mmarekan akitaka kuiwekea vikwazo Nchi fulan anatafuta vibaraka wake umoja wa Ulaya kumuunga mkono,kama kwa ulimwengu huu Urusi alifanikiwa kulichukua jimbo la Crimea Nchini Unkraine,tena kutoka Nchi mwanachama wa Nato,wameiwekea vikwazo lakin wameshindwa kumtikisa na wamebid wakubal na kwa sasa baadhi ya Nchi za ulaya nimeanza kumkwepa baada ya kutaka kuiwekea vikwazo,bado kuna tofauti baadhi ya Nchi hazitaki.
Haha haha haha haha.... Dah mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] jiulize kwanini Polepole hasifii Chadema.hahaha hapana kijana..mm
hua nasoma sana kwenye ili jukwaa japokua sio mchangiaji sana..yani hua nikiona title inasifia mrusi hua nasema lazima ze kikuyo nimkute humu..nimefungua huu uzi nikiwaza piga ua lazima nimkute ze kokuyo na kweli nimekukuta hahahaha
hahahah Mkuu ninajua NATO ni nini ..sema sie wengine sio wachangiaji sana bali wasomaji tuUnadhani NATO ni Marekani pekee?!
Kuna vinchi vidogo vinavyoogopa hvyo vifaru ila sio Marekani ndugu...
Rejea Iraq uone jinsi vifaru vya mrusi kama vile T-72 vilivyokua vikilipuliwa na Abraham.
Hv ww hujiuliz kwanin kila siku mrusi akizindua silaha lazima aipambanishe na Marekani lakin zikikutana vitan hazifui dafu.
Mfano mzuri ni hizo airdefenses zake Israel kila siku anazichezea mpaka Iran wakabadili codes sijui lakn Israel mpaka kesho anaingia Syria mpk sebulen kama kwake
Unadhan kwenye hyo NATO kama Marekani akitoka kitabaki mini?!hahahah Mkuu ninajua NATO ni nini ..sema sie wengine sio wachangiaji sana bali wasomaji tu
mkuu nikuulize swali ...Unadhani NATO ni Marekani pekee?!
Kuna vinchi vidogo vinavyoogopa hvyo vifaru ila sio Marekani ndugu...
Rejea Iraq uone jinsi vifaru vya mrusi kama vile T-72 vilivyokua vikilipuliwa na Abraham.
Hv ww hujiuliz kwanin kila siku mrusi akizindua silaha lazima aipambanishe na Marekani lakin zikikutana vitan hazifui dafu.
Mfano mzuri ni hizo airdefenses zake Israel kila siku anazichezea mpaka Iran wakabadili codes sijui lakn Israel mpaka kesho anaingia Syria mpk sebulen kama kwake
mrusi ni mwanachama wa G8..ila baada ya kuivamia ukraine na kuichukua Crimea wanachama wenzie wakamsimamisha uanachama kwa muda na ndio maana inaitwa G7 badala ya G8 sababu mmoja hayupoivi kwnye G7 ayupo mrussia....
1.Sijazungumzia airdefenses za Mrusi zilizopelekwa Syria, bali airdefenses za Syria zilizotengenezwa na Mrusimkuu nikuulize swali ...
1.mifumo ya ulinzi ya urusi iliwekwa kwa lengo gani..?kupigana vita au kulinda base yake,je kuna siku base ya urusi imewahi kushambuliwa..?naamini jibu sahihi unalo mkuu
2.israel anapoingia syria kulipia ua anaingia kwenye diameter ambazo hizo mifumo ya ulinzi ya urusi inacover..?.mm najua ww unajua ila unajaribu kujitoa tu ufaham ebu acha hio kitu mkuu
3.hivi kati ya pro mrusi na pro usa nani analinganishia silaha za mwenzie na zake..?hahahah umeshasahu ata hizo tank za urusi ni wewe umezilinganisha na usa
mkuu kucover mpaka israel Tel Aviv sio tatizo maana ndo uwezo wake..tatizo ni kwamba eneo analolipua muisrael liko kwenye covered area ya hizo defense system..lakini je ata kama liko kwenye covered area ya hizo defense system je lengo la hizo defence system lilikua nini..lilikua ni kulinda base zake sio kwenda kwenye vita kutungua ndege za adui..zitatungua makombora na ndege ya adui kama threat itaelekezwa kwao tu,so inawezekana kabisa ndege za muisrael zinaonekana kwenye rada ya hizo T400 ila hawez kuzishusha sababu sio lengo la zenyewe kua hapo na hakuna threat kwenye base yake1.Sijazungumzia airdefenses za Mrusi zilizopelekwa Syria, bali airdefenses za Syria zilizotengenezwa na Mrusi
2.Airdefenses za mrusi kama hyo S400 inacover mpk Tel Aviv hvyo inawezekana kwa ndege ya Israel kuonekana tangu inaruka ila kutokana na tricks mbalimbal israel inafanikiwa kukwepa detection ya hzo radar![]()
3.Sijazungumzia wachangiaji wa humu ndani, nmemaanisha Urusi yenyewe rejea like kombora la kuzamisha Ufaransa yote sijui, njoo kwenye kombora Lao jipya la Zircon, nk.
Ndo maaana mkuu mwanzo kabisa nilisema Airdefenses za Syria ambazo kuna taarfa kwamba mpaka Iran akawabadilishia codes akiamini kwamba Russia na Israel labda kuna mchezo wanawachezea. Lakin hilo nalo halikufua dafu kwani Israel alikua. Badoakiendelea na anaendelea kulipua Syria.mkuu kucover mpaka israel Tel Aviv sio tatizo maana ndo uwezo wake..tatizo ni kwamba eneo analolipua muisrael liko kwenye covered area ya hizo defense system..lakini je ata kama liko kwenye covered area ya hizo defense system je lengo la hizo defence system lilikua nini..lilikua ni kulinda base zake sio kwenda kwenye vita kutungua ndege za adui..so inawezekana kabisa ndege za muisrael zinaonekana kwenye rada ya hizo T400 ila hawez kuzishusha sababu sio lengo la zenyewe kua hapo
ebu angalia THAAD kule South korea..yawezekana kabisa zikawa zinaona makombora anayorusha North Korea lakin asiyashushe sababu sio lengo ya hizo kitu kua hapo..lengo ni kulinda yeye asishambuliwe tu
Acha upimbi.. hatuongelei vifaru vya vita ya kagera.Hivyo vifaru hata TANZANIA vipo vya kutosha.
Kwenye maonesho pale uwanja wa taifa huwa vinapita sana..
Sema tu serikali yetu haipendi kuanika mambo yake hadharani kawa kutoa statistics kuhusu uwezo wa vifaa vinavyopita pale taifa..
Lakini unaambi wa vile vifaru si vya sayari hii
Mkuu jifikirie kitu kidogo tu..mfano Saudi Arabia akamuomba US amtengenezee defence system ya kwake peke yake unafikir US atamtengenezea ilio sawa au ilioactive zaidi kuliko THAAD...?ukipata jibu nadhani utanielewa sasaNdo maaana mkuu mwanzo kabisa nilisema Airdefenses za Syria ambazo kuna taarfa kwamba mpaka Iran akawabadilishia codes akiamini kwamba Russia na Israel labda kuna mchezo wanawachezea. Lakin hilo nalo halikufua dafu kwani Israel alikua. Badoakiendelea na anaendelea kulipua Syria.