Ulinzi ni siri na kwenye maonesho hutolewa zile nyepesinyepesi tu.Ndiyo maana tender ya manunuzi ya vifaa vya ulinzi ni protected tender haitangazwi ni single source supplier no competition of tenderers.Hivyo vifaru hata TANZANIA vipo vya kutosha.
Kwenye maonesho pale uwanja wa taifa huwa vinapita sana..
Sema tu serikali yetu haipendi kuanika mambo yake hadharani kawa kutoa statistics kuhusu uwezo wa vifaa vinavyopita pale taifa..
Lakini unaambi wa vile vifaru si vya sayari hii
We jamaa wewe? Unaona ni sifa kubwa kifaru kupangua RPGs!!!
Ni hivi, RPG ni specially designed kulipua malori ya adui, kwa hiyo INA mantiki kama hiyo Merkava itapangua anti-tank mortars.
Sawa daini haki zenuKwani shoga Ana miguu mingapi, si miwili kama wewe. Au Ana pembe?!
Kwani dhambi?!Sawa daini haki zenu
na cha ajabu hao wanamgambo wamempiga israeli,Sasa vita israel na mgambo?Nato wanamakombola mazito yanashindwa kukibomoa hicho kifaru sasa israel anapigana na wanamgambo wenye siraha duni eti unawaona Nato kama majuwa vile
Si kama Mrusi tu alivyowekwa kibra kule Afghanistan na Mujahedeen.na cha ajabu hao wanamgambo wamempiga israeli,
ID yako ni MURUSI mkuu nikapinwe akili kubishana na mavi wakati niko chooni.Acha uongo bado T-50 ya Murusi ni kifaru bora kuliko vyote
![]()
![]()
![]()
Haya jibu la swali lako.... Huo mfumo uliokua ukitumika kupangua hayo ma Antu tanks unaotwa Trophy Active Protection System na ulifanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Pia kumbuka moja ya ant tanks Hezbollah walizokua nazo mojawapo ni Kornet ya mrusi(kaitafute uisome).
Na sasa Israel wapo mbioni kutengeneza Helment kma zile za F35 kwa ajili ya merkava na kukiwezesha kuona pande zote 360° na kuongeza ufanisi wa kupangua hayo maRPGs, Anti tanks, mortals, etc.
![]()
![]()
![]()
Haya jibu la swali lako.... Huo mfumo uliokua ukitumika kupangua hayo ma Antu tanks unaotwa Trophy Active Protection System na ulifanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Pia kumbuka moja ya ant tanks Hezbollah walizokua nazo mojawapo ni Kornet ya mrusi(kaitafute uisome).
Na sasa Israel wapo mbioni kutengeneza Helment kma zile za F35 kwa ajili ya merkava na kukiwezesha kuona pande zote 360° na kuongeza ufanisi wa kupangua hayo maRPGs, Anti tanks, etc.
Kumbe tuna toa facts kwa matusi mkuu ahsant, Sikujua ila me sina mdomo mchafu kumtukana mTZ mwenzangu kisa ushabiki wa wazungu...ubarikiwe na Putin akubarikiWe unafikiria kwa kutumia tundu
Hapo ndiyo utajua mwanaume ni nani Nato nchi 28 Mrusi yupo pekee yake tu ila anawafanya watu walale makorido wazi wanachungulia nje
The Group of 7 (G7) is a group consisting of Canada, France, Germany, Italy, Japan, the United Kingdom and the United States. The European Union is also represented within the G7.ivi kwnye G7 ayupo mrussia....
Hahaha Hakuna kitu kinachokukera kama usikie mrusi kafanya kitu flani..kiwe cha zamani au kipya..awe katumia tech ya miaka Mia iliopita au tech mpya.. Nahisi Hua unapita kwenye ili jukwaa mda ote ukitafuta nani kapost kuhusu urusi ili upinge tu...ata pro us wenzio hawapo hivoKwsni Armata ina nini cha ajabu?!
Kama hyo mifumo ya kujilinda hata Merkava inayo, tena Merkava tumeviona kwenye vita na Hezbollah ilivykua ikipangua maRPG ya hao wanamgambo(Hezbollah)