Kufaru kipya cha Urusi cha wakosesha usingizi NATO

Kufaru kipya cha Urusi cha wakosesha usingizi NATO

Unazani kifaru kinavunjwa kwa roket ya kubebwa pegani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja kwanza nicheke.... Unadhan teknolojia imelala siku zote kama CCM... Ngj nikupe home work ya swali lako... Nenda Google kasearch 'MANPATS' kapitie vzuriii halfu rud tena hapa
 
Mi nijuavyo Urusi ni hatar na siyo Mmarekan,Mrusi anapambana na Nchi 28 zenye nguvu kiuchumi,Mmarekan akitaka kufanya jambo anatafuta washirika(vibaraka wake),vita vyote alivyovianzisha anategemea vibaraka wake,mfano Libya,Iraq,fghanistan na sasa Syria,Urus yeye akianzishs vita yu-mwenyewe,Mmarekan akitaka kuiwekea vikwazo Nchi fulan anatafuta vibaraka wake umoja wa Ulaya kumuunga mkono,kama kwa ulimwengu huu Urusi alifanikiwa kulichukua jimbo la Crimea Nchini Unkraine,tena kutoka Nchi mwanachama wa Nato,wameiwekea vikwazo lakin wameshindwa kumtikisa na wamebid wakubal na kwa sasa baadhi ya Nchi za ulaya nimeanza kumkwepa baada ya kutaka kuiwekea vikwazo,bado kuna tofauti baadhi ya Nchi hazitaki.
Mrusi kapambana lini na hzo nchi 28?!

Half embu kapitie 'Battle of Medina Ridge' na 'Battle of 73 Eastings' half rudi tena hapa.
 
Hapo ndiyo utajua mwanaume ni nani Nato nchi 28 Mrusi yupo pekee yake tu ila anawafanya watu walale makorido wazi wanachungulia nje
Mrusi si juzi hapa aliungana na Iran na Turkey wakaweka sijui SAFE ZONES ndani ya Syria na wakasema kwamba ndege yoyote itakayopita eneo hilo eneo hilo itapuliwa, kwa ushenzi Marekani kapitisha ndege zake hapo na mabomu juu mbona hawajamgusa kama wao wanaume. Na bado yupo Syria mpk leo anaangusha mabomu.

Rejea mwaka juz au jana wakat S400 inapelekwa Syria.. Yule kamanda wa Urusi si alisema watadungua ndege yoyote ngeni ndani ya Syria, jiulize walishawah igusa ya Marekani hata moja au hata drone?!
 
Hivyo vifaru hata TANZANIA vipo vya kutosha.
Kwenye maonesho pale uwanja wa taifa huwa vinapita sana..
Sema tu serikali yetu haipendi kuanika mambo yake hadharani kawa kutoa statistics kuhusu uwezo wa vifaa vinavyopita pale taifa..
Lakini unaambi wa vile vifaru si vya sayari hii
Sio lazima kuchangia kama mada ni ngumu kaa kimya
 
Kwsni Armata ina nini cha ajabu?!
Kama hyo mifumo ya kujilinda hata Merkava inayo, tena Merkava tumeviona kwenye vita na Hezbollah ilivykua ikipangua maRPG ya hao wanamgambo(Hezbollah)

We jamaa wewe? Unaona ni sifa kubwa kifaru kupangua RPGs!!!

Ni hivi, RPG ni specially designed kulipua malori ya adui, kwa hiyo INA mantiki kama hiyo Merkava itapangua anti-tank mortars.
 
Hivyo vifaru hata TANZANIA vipo vya kutosha.
Kwenye maonesho pale uwanja wa taifa huwa vinapita sana..
Sema tu serikali yetu haipendi kuanika mambo yake hadharani kawa kutoa statistics kuhusu uwezo wa vifaa vinavyopita pale taifa..
Lakini unaambi wa vile vifaru si vya sayari hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kheeee... Leo Hezbollah wana silaha duni[emoji23] ?!
Nyie si kila siku huwa mnawasifia humu kwamba wana silaha nzito. Kwahyo unataka kunambia Iran anatengeneza silaha duni?!

Hizbullah wana silaha nzito?!!
Duh, we jamaa umelishwa hayo maneno au?
 
Sasa vita israel na mgambo?Nato wanamakombola mazito yanashindwa kukibomoa hicho kifaru sasa israel anapigana na wanamgambo wenye siraha duni eti unawaona Nato kama majuwa vile
Walijaribu wapi kubomoa wakashindwa??
 
We jamaa wewe? Unaona ni sifa kubwa kifaru kupangua RPGs!!!

Ni hivi, RPG ni specially designed kulipua malori ya adui, kwa hiyo INA mantiki kama hiyo Merkava itapangua anti-tank mortars.
Hpo nimemention kitu kimoja kijana punguza jazba.
Ngoja nakujia na takwimu mda c mrefu. Kwan mabishano ya nini ndugu!!
 
Hizbullah wana silaha nzito?!!
Duh, we jamaa umelishwa hayo maneno au?
Leo naona mnawakataa ndugu zenu. Hamas mlikua mnasema wana roketi za kutengeneza chumbani na kwamba kiboko ya Israel ni Hezbollah leo naona mnawakataa mchana kweupeeee. MUNGU anawaona mjue
 
Leo naona mnawakataa ndugu zenu. Hamas mlikua mnasema wana roketi za kutengeneza chumbani na kwamba kiboko ya Israel ni Hezbollah leo naona mnawakataa mchana kweupeeee. MUNGU anawaona mjue

Wewe ndio inabidi umkosoe anaesema hivyo sio wewe Ku utter such kind of words
 
Wewe ndio inabidi umkosoe anaesema hivyo sio wewe Ku utter such kind of words
Mkuu nadhan wewe ni mmoja wa wafatiliaji wa mijadala kama hii humu ndani na nadhani huwa unaona pro Russia wanavyowapaga sifa Hezbollah pale linapokuja swala la Israel hvyo sina haja ya kuelezea sana.
 
Hivyo vifaru hata TANZANIA vipo vya kutosha.
Kwenye maonesho pale uwanja wa taifa huwa vinapita sana..
Sema tu serikali yetu haipendi kuanika mambo yake hadharani kawa kutoa statistics kuhusu uwezo wa vifaa vinavyopita pale taifa..
Lakini unaambi wa vile vifaru si vya sayari hii
Umemaliza kunywa viroba.
 
Back
Top Bottom