We team Taifa la mashoga israelKwsni Armata ina nini cha ajabu?!
Kama hyo mifumo ya kujilinda hata Merkava inayo, tena Merkava tumeviona kwenye vita na Hezbollah ilivykua ikipangua maRPG ya hao wanamgambo(Hezbollah)
hahahaha...vimetengenezwa na nani?Lakini unaambi wa vile vifaru si vya sayari hii
Jifariji mkuu maana itabaki ndotoHivyo vifaru hata TANZANIA vipo vya kutosha.
Kwenye maonesho pale uwanja wa taifa huwa vinapita sana..
Sema tu serikali yetu haipendi kuanika mambo yake hadharani kawa kutoa statistics kuhusu uwezo wa vifaa vinavyopita pale taifa..
Lakini unaambi wa vile vifaru si vya sayari hii
Sasa vita israel na mgambo?Nato wanamakombola mazito yanashindwa kukibomoa hicho kifaru sasa israel anapigana na wanamgambo wenye siraha duni eti unawaona Nato kama majuwa vileKwsni Armata ina nini cha ajabu?!
Kama hyo mifumo ya kujilinda hata Merkava inayo, tena Merkava tumeviona kwenye vita na Hezbollah ilivykua ikipangua maRPG ya hao wanamgambo(Hezbollah)
Kheeee... Leo Hezbollah wana silaha duni[emoji23] ?!Sasa vita israel na mgambo?Nato wanamakombola mazito yanashindwa kukibomoa hicho kifaru sasa israel anapigana na wanamgambo wenye siraha duni eti unawaona Nato kama majuwa vile
Sasa vita israel na mgambo?Nato wanamakombola mazito yanashindwa kukibomoa hicho kifaru sasa israel anapigana na wanamgambo wenye siraha duni eti unawaona Nato kama majuwa vile
Mwehu wewe, kuna mashoga Israel? Au Uarabuni!!!We team Taifa la mashoga israel
Unazani kifaru kinavunjwa kwa roket ya kubebwa pegani?Kheeee... Leo Hezbollah wana silaha duni?!
Nyie si kila siku huwa mnawasifia humu kwamba wana silaha nzito. Kwahyo unataka kunambia Iran anatengeneza silaha duni?!