Code Breaker
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 1,019
- 446
Watu hawataki kuamini kabisa vifaru vyetu vimetengenezwa na aliens!Hivyo vifaru hata TANZANIA vipo vya kutosha.
Kwenye maonesho pale uwanja wa taifa huwa vinapita sana..
Sema tu serikali yetu haipendi kuanika mambo yake hadharani kawa kutoa statistics kuhusu uwezo wa vifaa vinavyopita pale taifa..
Lakini unaambi wa vile vifaru si vya sayari hii