Kufanya mapenzi kwa mwaka mara nne

Kufanya mapenzi kwa mwaka mara nne

Naomba msaada wa kiafya. Kuna tatizo endapo unafanya mapenzi na mke wako mara nne tu kwa mwaka. Hili tatizo ninalo mimi ni msalaba nilionao kwa mke wangu ni mgumu wa kutoa penzi. Kila siku amechoka kila siku akilala hataki aguswe. Mpaka nimekata tamaa sana sana kwa mwaka nampata mara nne au tatu. Namshawishi kila namna kwa kila maneno lakini ni balaa tupu. Mpaka huwa nawaza kwa nini nilioa na kufunga naye ndoa. Kuna kipindi nakata tamaa naendelea kumuomba mungu anisaidie.

Msaada wenu!!
pole Sana Dingi Kuna jini linakuchapia au Fara Fulani .
Chukua Hatua Madhubuti na Mapema Sana.
 
umejaribu kumuuliza kinachomfanya akufanyie hivyo? inawezekana akawa na mtu mwingine au hana mtu mwingine, labda kuna kitu kibaya ulimfanyia,na yeye akaona kukunyima naniliii ndio anakuadhibu kumbe ndio anafanya situation kuwa more worse
 
Huenda anatatizo la kiafya kila afanyapo sex na ttz hukumjua kabla ya kumuoa ss umemjua,nadhani kaa nae akueleze ttz lake km hana mkubwa chukua hatua mapema kwani hapo atakuwa ameshindwa jukumu lake la msingi kbs kuliko yote
 
Naomba msaada wa kiafya. Kuna tatizo endapo unafanya mapenzi na mke wako mara nne tu kwa mwaka. Hili tatizo ninalo mimi ni msalaba nilionao kwa mke wangu ni mgumu wa kutoa penzi. Kila siku amechoka kila siku akilala hataki aguswe. Mpaka nimekata tamaa sana sana kwa mwaka nampata mara nne au tatu. Namshawishi kila namna kwa kila maneno lakini ni balaa tupu. Mpaka huwa nawaza kwa nini nilioa na kufunga naye ndoa. Kuna kipindi nakata tamaa naendelea kumuomba mungu anisaidie.

Msaada wenu!!
Siku akikupa piga show ya uhakika mpaka kesho yake aombe game mwenyewe
 
Duh pole sana mkuu hiyo yako haiwezi kua ndoa aseeee ila akisikia unapoza makali ya ugwadu kwa dada wa kazi atakua mkali na lawama lundo
 
Inawezekana ukiwa naye huwa mnafanya kilokole lokole, akikutana na vijana huko nje huwa wanacheza karate mara judo mara kabebwa, yaani vituko vingi. Akirudi nyumbani anaona unamchafua na kumpapasa tu!, anakujibu kwa matendo tatizo lako hujamuelewa tu. Pole sana we Tulia kwa Yesu tu!!!
Anafanya kilokole wakati mwenzake anataka fangfang.
 
Naomba msaada wa kiafya. Kuna tatizo endapo unafanya mapenzi na mke wako mara nne tu kwa mwaka. Hili tatizo ninalo mimi ni msalaba nilionao kwa mke wangu ni mgumu wa kutoa penzi. Kila siku amechoka kila siku akilala hataki aguswe. Mpaka nimekata tamaa sana sana kwa mwaka nampata mara nne au tatu. Namshawishi kila namna kwa kila maneno lakini ni balaa tupu. Mpaka huwa nawaza kwa nini nilioa na kufunga naye ndoa. Kuna kipindi nakata tamaa naendelea kumuomba mungu anisaidie.

Msaada wenu!!
ana sababu gani hadi akupe kwa mahesabu?
 
Ngoja nikomae naye. Ni ukweli...kila kitu anapata!! Job namupitisha kila tuendapo job. Jioni namptia kama sijatingwa.....anavaa vizur,saloon anaenda. Kwa ujumla ni msalaba....mke mzuri lakini ndo hivyo nataabika...
atakuwa analiwa huyo.cha kufanya mtafutie small house halafu awe mzuri kuliko yeye,ikibidi na ye amjue,kitakachojiri leta mrejesho
 
Pole sana mkuu... Nina maswali mengi mno ambayo majibu yake unayo ww na ndio suluhisho la matatizo yako. 1) Mlikutanaje mpaka kuanzisha mahusiano mfano shule/kazini/warsha/safarini/mpaka kufunga ndoa enu.
3). Mlishawishiwa na nini hasa? Mfn mimba ya bila kutegemea au ulitafutiwa tu wakati yy hakuwa willing sana
4). Mna muda gani kwe ndoa?
5). Je, mmebahatika japo kupata mtoto/watoto na umri wake/wao je?
6). Hiyo hali imeanza lini toka muwe pamoja?

Ok, pamoja na hayo yote yaweza kuwa ana mtu ambaye ndio yalikuwa matarajio yake na sio ww. Yaweza akawa anaumwa kiafya mfano amegundua ana maambukizo ya vvu. Au pia ana jini mahaba limemuoa baharini huko linamsubua upo hapo..
 
Naomba msaada wa kiafya. Kuna tatizo endapo unafanya mapenzi na mke wako mara nne tu kwa mwaka. Hili tatizo ninalo mimi ni msalaba nilionao kwa mke wangu ni mgumu wa kutoa penzi. Kila siku amechoka kila siku akilala hataki aguswe. Mpaka nimekata tamaa sana sana kwa mwaka nampata mara nne au tatu. Namshawishi kila namna kwa kila maneno lakini ni balaa tupu. Mpaka huwa nawaza kwa nini nilioa na kufunga naye ndoa. Kuna kipindi nakata tamaa naendelea kumuomba mungu anisaidie.

Msaada wenu!!
Cheki vizur, unaweza kuhisi ana cheat kumbe ana mume wa kiroho aka Jini la mapenzi,
 
Me ameumbwa ili amtawale ke,ukiona me umemshindwa ke ujue unashindana na me mwenzako kumtawala ke
Akil ya kuambiwa changanya na yako
 
Mwana kwa mtazamo wangu wa haraka haraka unachapiwa na jini mahaba, kagua milalo yake usiku
 
Back
Top Bottom