Kufanya mapenzi kwa mwaka mara nne

Kufanya mapenzi kwa mwaka mara nne

Wanawake wa dizain hii hata ukiwa na mchepuko huwa hawajali wanaona sawa tu.....jaribu kuwashirikkisha ndugu zake hata Dada yake mwambie unanyimwa
 
mke wa dizaini hyo dizaini hyo dawa yake ni kumuolea mke wa pili tu.tena mtoto wa kitanga mbichiiiiii.Kikawaida gemu inatakiwa angalau kwa wiki mara mbili na hyo ni minimum.kama kuna ukweli kwenye hii hadithi yako bas pole sana.kwanza inawezekanaje kuwa na mwanamke mwenye jeuri kiasi hicho cha kugoma kukupa huduma yako ya kikatiba?.hebu kaza msuli mtoto wakiume mweke chini akueleze tatizo ni nini.akizingua mpe likizo kwanza arudi kwao
Mimi Mtanga.
 
Itakua una dore gumba ameamua
Kwenda kugawa kwa wenye dudu kubwa...ndugu ushuri wngu tafuta dawa urefushe utaona atajileta mwenyewe vingevo ata ukioa mwengine shida itabaki iyo iyo tu
 
Itakua una dore gumba ameamua
Kwenda kugawa kwa wenye dudu kubwa...ndugu ushuri wngu tafuta dawa urefushe utaona atajileta mwenyewe vingevo ata ukioa mwengine shida itabaki iyo iyo tu
Yesu Na maria
 
kwani duniani mpo wawili tu ww na mkeo piga chini chukua mwingine mibunyo ya kupimiana kwenye vibaba kwa dunia ya Leo ya nwanaume mmoja wanawake watatu kwa idadi
 
hilo jambo sio la kawaida, atakuwa na matatzo yeye tafuta namna yakumsaidia usichukulie kirahisi. hata angekuwa na jeuri kiasi gani haifiki hapo mkuu.

omba Mungu akurahisishie kujua tatizo lake ama anaumwa/ psychological problem, endelea kumpenda zungumza naye utapata muafaka.

usipende sana kuwashirikisha watu matatizo ya ndani hivyo hata kama ni wazazi labda ifikie pabaya zaidi ya hapo
 
Yaan nikikutana na kesi za namna hii mpaka nakata tamaa ya kuoa, na hapo unakuta kabla hajawa mke alikuwa anaitafuta mwenyewe mashine ya jamaa, sasa keshamiliki nyumba kakunjua makucha. Nikipata mke wa hivi mimi Mungu anisamehe tu, maana kwangu mgegedo ndo first thing. Pole jamaa
 
Back
Top Bottom