Kufanya mapenzi kwa mwaka mara nne

Kufanya mapenzi kwa mwaka mara nne

Mara nne kwa mwaka? Atakuwa ni wa aina yake..kama hana tatizo la kiafya hiyo haiwezi kuitwa ndoa.
 
Ngoja nikomae naye. Ni ukweli...kila kitu anapata!! Job namupitisha kila tuendapo job. Jioni namptia kama sijatingwa.....anavaa vizur,saloon anaenda. Kwa ujumla ni msalaba....mke mzuri lakini ndo hivyo nataabika...
Mlifanya kabla ya ndoa??
Au ndo wale watafta bikra
 
Huyu anaruhusu michepuko mwenyewe haki tena.kwani mtoa mada wewe ni mwanaume kwel Wa kitanzania?maana unalalamika kitu ambacho wanaume wakitanzania wajawahi kukiendekeza tena unakata tamaa unaamua kumuomba mungu tu?????
 
Wapo.wanaume pia hawapendi kufanya, mwanamke ndo unakua unamuwinda
 
Ngoja nikomae naye. Ni ukweli...kila kitu anapata!! Job namupitisha kila tuendapo job. Jioni namptia kama sijatingwa.....anavaa vizur,saloon anaenda. Kwa ujumla ni msalaba....mke mzuri lakini ndo hivyo nataabika...
maelezo ya upande mmoja hayana uhalisia.
 
Naomba msaada wa kiafya. Kuna tatizo endapo unafanya mapenzi na mke wako mara nne tu kwa mwaka. Hili tatizo ninalo mimi ni msalaba nilionao kwa mke wangu ni mgumu wa kutoa penzi. Kila siku amechoka kila siku akilala hataki aguswe. Mpaka nimekata tamaa sana sana kwa mwaka nampata mara nne au tatu. Namshawishi kila namna kwa kila maneno lakini ni balaa tupu. Mpaka huwa nawaza kwa nini nilioa na kufunga naye ndoa. Kuna kipindi nakata tamaa naendelea kumuomba mungu anisaidie.

Msaada wenu!!


Walikuolea? Kama lijali huwezi kuja kupiga kelele hapa wenzio mwezi tu tunaulizwa unakulaga wapi hicho chakula
 
Inawezekana ukiwa naye huwa mnafanya kilokole lokole, akikutana na vijana huko nje huwa wanacheza karate mara judo mara kabebwa, yaani vituko vingi. Akirudi nyumbani anaona unamchafua na kumpapasa tu!, anakujibu kwa matendo tatizo lako hujamuelewa tu. Pole sana we Tulia kwa Yesu tu!!!
 
Tanzania kuna wanawake zaid ya 28 millions tafuta mke mdogo atafungua kichwa na kama hatobadilika mrudishe kwao akalime
 
mkuu hilo ni jipu fanya kikao cha dharura weka mambo mezani waite wazee,
unajuwa MWANAMKE ni very selective siku zote upenda na ufurahia kufanya tendo na MWANAUME yeye anae mpenda pia ana hisia juu ya yule MWANAUME, sasa ukiona analeta program ya mara nne kwa mwaka juwa hisia zake kwako zimeshuka na ukimchunguza sana na kumfuatilia unaweza kuta ana mtu anampa tamu,
 
teh...
umewaza nini mkuu..!?
Hahahaha ni heri punyeto kuliko kutafuta mchepuko, maana nyumba ndogo ndo huwa wanaharibu kabisa na ndo atazidi kumchanga ndugu yetu, atumie tu nyeto kwa hii transitional period mpaka mambo yatakapo tulia, ndoa ni ya kuilinda sio ya kuikimbia maana kila ndoa ina mzimu wake.
 
Mara 4 kama unapiga mtoto wa jirani kwa kibia ibia aisee huyo sio mkeo ni roommate.
 
Hahahaha ni heri punyeto kuliko kutafuta mchepuko, maana nyumba ndogo ndo huwa wanaharibu kabisa na ndo atazidi kumchanga ndugu yetu, atumie tu nyeto kwa hii transitional period mpaka mambo yatakapo tulia, ndoa ni ya kuilinda sio ya kuikimbia maana kila ndoa ina mzimu wake.
mmmh...
me simshauri ajaribu hiyo KITU mkuu...
coz kufanya hivyo ni kujaribu kulitafuta TATIZO lingine..!!!
 
april, june september na december..... duuh kaka pole sana tukiyaacha hayo yote we ni mshabik wa arsenal?
 
Pole sana mkuu ndo wake tulionao sikuhizi, hupenda status ya ndoa ila majukumu yake hawayapendi
 
Back
Top Bottom