Kufanya mapenzi kwa mwaka mara nne

Kufanya mapenzi kwa mwaka mara nne

mke wa dizaini hyo dizaini hyo dawa yake ni kumuolea mke wa pili tu.tena mtoto wa kitanga mbichiiiiii.Kikawaida gemu inatakiwa angalau kwa wiki mara mbili na hyo ni minimum.kama kuna ukweli kwenye hii hadithi yako bas pole sana.kwanza inawezekanaje kuwa na mwanamke mwenye jeuri kiasi hicho cha kugoma kukupa huduma yako ya kikatiba?.hebu kaza msuli mtoto wakiume mweke chini akueleze tatizo ni nini.akizingua mpe likizo kwanza arudi kwao
hahahaha Mtoto wa Ki Tanga Umenipa jeuri leo Tanga OYEEEEEEEEEEEEEEE LOL..
 
Mi nna swali mjuu
Kabla hamjaoana ulimkua unamfanya mara ngap au ndo yale yale ya kufanyana mpaka ndoa??shake well before use dude
 
Mkuu upole umekuzidi sana. Mwanamke anaangalia aina ya mtu wa kumfanyia huo ujinga. Sasa wewe ukikaa nae vimeseji haviingii kwenye simu yako, simu za uchokozi hupigiwi, ndio maana anakufanyia hivyo maana anajua nje hupendwi.
Huyo mwanamke atakua mjinga sababu anaiharibu ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
 
Hahaa mara tatu kwa mwaka yesuuuu.....kuna yule jamaa anafanya usajili wa chaputa mkuu ngoja nikuulizie kama kuna kanafasi kamebaki akupe mkuu maana sasa huna namna nyingine
Chaputa =chama cha puri tanzania
 
Back
Top Bottom