eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 15,769
- 14,054
local beliefs
Manyoya ya kondoo yana static electricity ambayo mara nyingi kukiwa na radi yana tend to be current electricity..... mara nyingine wanadhurika....
local beliefs
Mkuu RADI ni umeme unaotokana/generated na msuguano wa mawingu, sasa jogoo anatoka wapi! Adithi kama hizo niliwahi kuzisikia kijijini kwetu nilipo kuwa mdogo - mimi nafikiri radi kabla haija strike aridhi kuna mini-branches zinazo tokana na main lightnig bolt ambazo umeme wake ni mdogo i.e hauwezi kuua binadamu, sasa umeme huo ukipitia kichwani/ubongo kwenda aridhini basi unaweza kumfanya binadamu aone illusion ya mfano wa JOGOO i.e light current ya umeme wa radi kupitia kwenye ubongo unamfanya apate hallucination ya muda na kudhani alimuona Jogoo kweli. Mimi nina mfano hai lakini sio wa kuona Jogoo, Mkoa wa Kagera una incidents nyingi za kupigwa radi hasa hasa vitongoji vilivyo karibu na ziwa Victoria, siku moja nikiwa darasa la kwanza tukiwa darasani radi ilipiga karibu sana na shule, baadhi ya wanafunzi akiwemo mimi mwenyewe tulihisi kitu kama chumvi mdomoni!! Nafikiri kitu kilicho tuhokoa ni a lightnig arrestor iliyo kuwa imewekwa kwenye paa la shule kwa miaka mingi, bila ya kizuhizi hicho cha radi sina shaka siku hiyo tungepigwa radi - kwa nini nina hakika kuwa taste ya chumvi ilitokana na umeme mdogo wa radi, siku moja chukua betri mpya ya tochi weka kidole kwenye base (-ve) yake alafu tumia ncha ya ulimi wako iguse +ve side ya betri - kama betri ni mpya basi taste yake inakuwa ni ya chumvi chumvi, kama betri hiko completely discharged hutahisi chochote. Siku ya tukio la radi shuleni nilipata taste ya chumvi kinywani mwangu, kwa hiyo tusione ajabu sana watu wengine wanapo pata illusion tofauti mfano - kuona Jogoo sijui mweupe au mwekundu!
Mkuu imani hiyo hipo karibu ukanda wote wa Ziwa, nilikuwa najaribu kueleza kisayansi kwa nini baadhi ya watu wanapata illusion ya kuona JOGOO - ni hilo tu mkuu.Usipate taabu kuandika makala ndefu. Nilisikia kuhusu imani hiyo huko Shinyanga vijijini, imetawala sana. Habari ya asili ya radi wala si issue kwangu, I was just sharing my experience, ilakuna mp.mbavu mmoja anayedhani kila thread anaweza kuigeuza kuwa ya chuki za kidini. Huyo narudia tena ni mp.mbavu na jina lake humu ni kahtaan. Hivyo ulichokisoma hapo ni IMANI ILIYOENEA SHINYANGA VIJIJINI. That is all.
Mkuu calm down, Kahtaan hana neno anatania TU.A fool at his best.
Usipate taabu kuandika makala ndefu. NILISIKIA KUHUSU IMANI HIO HUKO SHINYANGA vijijini, imetawala sana. Habari ya asili ya radi wala si issue kwangu, I was just sharing my experience, ilakuna mp.mbavu mmoja anayedhani kila thread anaweza kuigeuza kuwa ya chuki za kidini. Huyo narudia tena ni mp.mbavu na jina lake humu ni kahtaan.
Hivyo ulichokisoma hapo ni IMANI ILIYOENEA SHINYANGA VIJIJINI. That is all.
Naam NILIIONA HIO KITU Shinyanga vijijini. Kwamba radi huja kama JOGOO, na inapokutana na kondoo hupigana sana na mara nyingi radi hushindwa.[/QUOTE
Ndio nikasema MNAFIKI HAWEZI KUJIFICHA HATA SIKU MOJA!
Sasa kama mnaomuwakilisha yesu NDIO SURA MBILI KAMA HIVI? Ugalatia wa kweli KABAKIZA NANI!?
I told you sweetheart! Oneday This is going to bite your backside!
Naona hapo ulipo huna hata pa kuficha sura yako!
Teh teh teh teh.
Cc mkupule
A fool at his best.
Ibrahim alikuwa dini gani? Si ndiyo mnamwita Baba wa Imani yenu na makanisa yenu? Hakutoa kondoo kafara?
A fool at his best.
Kondoo hana uwezo wa kuzuia radi ila amepewa kipawa cha ku sense uelekeo/ujio wa radi na coverage area ya eneo litakaloathiriwa! hivyo anachofanya ni ku hedge/kujkianga na madhara ya radi yasimdhuru.
ndio maana kwa sisi wafugaji wazee wetu walitushauri kuwa wepesi wa kuangalia uelekeo wa kondoo pindi vua inaponyesha i.e unashauliwa kulala chini nyuma ya kondoo ktk tukio la radi.
Halafu mtu kama wewe unajisifu umeenda shule!?
Teh teh teh teh!
Afadhali nimedaka hapa unaandika utumbo! Ntauhifadhi huu utumbo siku nyingine ukileta yale majigambo yako ya kusema wewe msomi!
Radi ya jogoo my foot!
Una Elimu gani mkuu?
kahtaan huyu Nyenyere si yule fundi mwashi au sio yeye?Halafu mtu kama wewe unajisifu umeenda shule!?
Teh teh teh teh!
Afadhali nimedaka hapa unaandika utumbo! Ntauhifadhi huu utumbo siku nyingine ukileta yale majigambo yako ya kusema wewe msomi!
Radi ya jogoo my foot!