Kuendesha nyumba kwa remote control

Kuendesha nyumba kwa remote control

Na vipi kuhusu hiyo kitu ya kwenye avatar yako?

hiyo haina shida, vipi si unakumbuka kila weekend tuna 'maungamo' yetu? Yule shosti wako Erotica Sijamwona tangu ulivomwambia eje nadhani tuendelee tu sisi. lol
Kaunga weekend hii nikuandalie nn?
 
Last edited by a moderator:
Basi tu Kaunga
Mie nina roho nzuri, nakuhurumia ukikaa mpweke
Ndo maana namwambia Mr angalau tukukeep busy

Ungejua nafurahia uhusiano na kiserengeti chako lol

Kuna watu wanapenda kudanganywa halafu wanaamini huo uongo ulio wazi; The Boss Kaunga ni mdada ambaye ili usiabike kokote unapokuwa hata kwa Kongosho lazima umvutie taswira ili mambo yateremke!
Fixed Point,
About the topic, wakati nikiwa na mtoto nyumbani l use to be like you, especially kwenye maswala ya kula, kuoga, kulala kwa mtoto. Lakini sasa hivi, l am ashamed to say; recently l travelled for 2 weeks bila kupiga simu kwa mdada wa kazi hata siku moja. Nimempigia about 300m from home nikimwambia afungue gate.

Kitu kingine, my maid ni house manager mzuri sana. Nikisafiri l make sure kuna vitu muhimu kama gas ya kutosha, mboga kama kuku, samaki, ng'ombe, kitimoto, beans, dagaa, vitunguu, mafuta na mistarch yote, chakula cha mbwa etc. Then ninamwachia pesa ya majani, matunda, bread na emergency. Usiku kuna mlinzi so she should be fine, akiwa na shida si atanipigia bwana.
 
hiyo haina shida, vipi si unakumbuka kila weekend tuna 'maungamo' yetu? Yule shosti wako Erotica Sijamwona tangu ulivomwambia eje nadhani tuendelee tu sisi. lol
Kaunga weekend hii nikuandalie nn?
Erotica ameokoka siku hizi, big time mlokole. Weye hujaona mavazi yake ya vitenge siku hivi!

This weekend kwa maungamo l will have sea dish preferably prawns na white dry wine; pick the brand for me my dear, are you gonna invite gfsonwin pia au haikuwork out mtaa wa 18. LOL
 
Last edited by a moderator:
Basi tu Kaunga
Mie nina roho nzuri, nakuhurumia ukikaa mpweke
Ndo maana namwambia Mr angalau tukukeep busy

Ungejua nafurahia uhusiano na kiserengeti chako lol

Halooooo!, eti nina roho nzuri.
aah wapi, we both know ninamrejuvenate huyo Boss wako na akinikosa for a week hata weye mambo hayakuendei uzuri. LOL
 
Um-rejuvinate wewe?

Au nimkataza kuongea nawe? Tukikuchunia utaumbuka?
Maana Eiyer bado mwanafunzi hadi amalize homuweki ndo aingie jf

Mbona fomu foo alishamaliza siku nyingi, sema tu mmemfanya aanze kutafuta wamama wengine; baada ya kuniharibia sana ni huyo gume gume wako! LOL
 
Fixed Point twins hawajambo vibaya mno! wadada wakubwa sasa wanasoma nursery, nina kazi ya kuimbiwa nyimbo za kila design humo ndani! na kuandika ukutani wakati mwenzao ni last year tu nilipaka rangi nyumba! lol! wanaitwa CINDY + COREEN(part of cacico), ca ni dada yao mkubwa! lol! ni mademu wote na nimemaliza mchezo! hawa watoto ni vipenzi wa baba yao! hivi ni kwa nn??? huwa inaniuma sana, hata ukiwauliza kati ya mum na dad unampenda nani, wanajibu tena kwa sauti dad! uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii natakaga kufa! nitatafuta kidume na mimi cha kuringa nacho! najua kitanipenda tu!
hongera sana mamito........... hiyo chemistry ya mabinti na dad zao tuziache tu, maana zinaleta stress, halafu wenyewe wanajidanganyaga wanapenda baby boys... nani kasema!
pale home nina kabinti kamoja yaani wakikaa na dad wake utafikiri wanachumbiana..................... lol!
nikiwepo mimi ni kufukuzana tu, kwa kifupi huwa haziivi kabisa.
sasa hao Twins basi nipe mimi. napenda watoto wa kike ni vibaya sana, wanavyopendeza wakivaa, michezo yao......... raha tupu.
huo ukuta wewe endelea tu na kupaka rangi kila wiki ikiwezekana. kwangu kuna green stick, maalumu kwa kuchapia atakayeripotiwa na makosa yaliyojirudia, lakini kwani ndo wanakoma!
 
Weee Eiyer hebu njoo umdekeze mkeo
Yaani unataka kuzalisha kibibi cha 40?
Huoni haya macho hapa?

Jamani gumegume linanipa raha! Ujue liko kama 'CEO' kwenye 🙂 maravu.

Mbona fomu foo alishamaliza siku nyingi, sema tu mmemfanya aanze kutafuta wamama wengine; baada ya kuniharibia sana ni huyo gume gume wako! LOL
 
Last edited by a moderator:
Weee Eiyer hebu njoo umdekeze mkeo
Yaani unataka kuzalisha kibibi cha 40?
Huoni haya macho hapa?

Jamani gumegume linanipa raha! Ujue liko kama 'CEO' kwenye 🙂 maravu.

Wewe muache tu apeleke mbegu;
Nami weekend hii naenda kufanya kitubio kwa Kaizer, wewe subiri afanye booking tutakapokwenda this weekend. Kaizerthis time utakuja na gari gani vile?
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu imekuwa serious kiasi hiki?
Alikuwa anamtania tu yule bibi kizee asipate heart konkasheni.

Kuna utani wa kutumiana PM?
Utani ni barazani bwana, halafu lilivyobumbuluka anakuja na line hii
"hatauweza mziki wangu, anayeweza ni my swee k tu"
Can you buy it, hata kama ni weye? Eiyer njoo hapa ujieleze, Kongosho kabadilika sasa anataka kutusuruhisha ili tuishi uzuri. LOL
 
Last edited by a moderator:
hongera sana mamito........... hiyo chemistry ya mabinti na dad zao tuziache tu, maana zinaleta stress, halafu wenyewe wanajidanganyaga wanapenda baby boys... nani kasema!
pale home nina kabinti kamoja yaani wakikaa na dad wake utafikiri wanachumbiana..................... lol!
nikiwepo mimi ni kufukuzana tu, kwa kifupi huwa haziivi kabisa.
sasa hao Twins basi nipe mimi. napenda watoto wa kike ni vibaya sana, wanavyopendeza wakivaa, michezo yao......... raha tupu.
huo ukuta wewe endelea tu na kupaka rangi kila wiki ikiwezekana. kwangu kuna green stick, maalumu kwa kuchapia atakayeripotiwa na makosa yaliyojirudia, lakini kwani ndo wanakoma!
Fixed Point thanx my dear nitakuPM nikutumie picha zao at least uwaone, nimewasokota dreads nimewaweka shanga kubwa zile! ni mwendo wa dreads hata dada yao mkubwa ndio hivyo! najitahidi kuwavalisha nguo za heshima, ila yule mkubwa keshaanza kuwa pasua kichwa, copy and paste vya shulenii kwao! kila siku anarudi na hitaji jipya, naomba boots za kamba, naomba skin tites zenye vichuma pembeni, tops za hannah montana etc! yaani nasemaga hii ni nini! ndio hivyo malezi MUNGU ATUKUZIE NA AWALINDE! AMEN!
 
Yaani cacico unazidi kunitia kichaa, uuuuuuwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! sasa mimi nikiona hizo picha si nitatamani kubeba mimba nyingine na uzee huu? kwa kweli watoto wa kike wananitiaga sana kichaa. mdada wangu mimi kakua, watoto nilio nao home ni vidume tu. sasa huwa napenda sana kukusanya watoto wa kike wa rafiki zangu ili nitese nao huko kwenye viwanja vya watoto.
NiPM hizo picha, halafu serious niPM tupange, labda kuna siku utaniazima wa kwako, please!
 
Last edited by a moderator:
Kuna utani wa kutumiana PM?
Utani ni barazani bwana, halafu lilivyobumbuluka anakuja na line hii
"hatauweza mziki wangu, anayeweza ni my swee k tu"
Can you buy it, hata kama ni weye? Eiyer njoo hapa ujieleze, Kongosho kabadilika sasa anataka kutusuruhisha ili tuishi uzuri. LOL
yamekuwa hayo Kaunga na Kongosho? jamani huu ugomvi uishe basi, mimi nawasuluisha, chonde jamani
 
Last edited by a moderator:
Yaani cacico unazidi kunitia kichaa, uuuuuuwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! sasa mimi nikiona hizo picha si nitatamani kubeba mimba nyingine na uzee huu? kwa kweli watoto wa kike wananitiaga sana kichaa. mdada wangu mimi kakua, watoto nilio nao home ni vidume tu. sasa huwa napenda sana kukusanya watoto wa kike wa rafiki zangu ili nitese nao huko kwenye viwanja vya watoto.
NiPM hizo picha, halafu serious niPM tupange, labda kuna siku utaniazima wa kwako, please!
Fixed Point usijali ngoja nifanye mchakato sasa hivi nikutumie! tena bora kuanza kutembeleana mapema, u neva knw waeza kuwa mkwe wangu, maana we una vidume, mi nina hao mamiss hapo ndani!
 
Last edited by a moderator:
Fixed Point usijali ngoja nifanye mchakato sasa hivi nikutumie! tena bora kuanza kutembeleana mapema, u neva knw waeza kuwa mkwe wangu, maana we una vidume, mi nina hao mamiss hapo ndani!
ha haaaaaaaaaaaaaaaaaa, nilitaka kulisema hili mapemaaaaaaaaaaaa..... yaani hapo sasa tufanye faster. wakiwa kwangu utakuwa huna Presha za mabinti sijui wanaishije na mama mkwe wao!!!!!!!! yaani utakuwa na amani tele
 
Afu wewe FP

Unajua kabisa nimeolewa na Boss na nina ujauzito wa kujifungua?
Mbona hivi lakini? Kama vile umelipwa niachike lol

Usimuudhi 'laazizi' wangu lol
Kwa kauli hii natangaza rasmi kuwa mimi na Kongosho sasa BASI!

Ahsanteni na kwaheri. ODM anatafuta asali nyingine kwa huzuni. Fixed Point please note!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom