Kuendesha nyumba kwa remote control

Kuendesha nyumba kwa remote control

Last edited by a moderator:
Erotica ameokoka siku hizi, big time mlokole. Weye hujaona mavazi yake ya vitenge siku hivi!

This weekend kwa maungamo l will have sea dish preferably prawns na white dry wine; pick the brand for me my dear, are you gonna invite gfsonwin pia au haikuwork out mtaa wa 18. LOL

Kaunga, gfsonwin atakuwepo pia mambo yako mswano kabisa, wine utapata and more as u wish ila usifiche dhambi nyingine tena
 
Last edited by a moderator:
Tena arudi kabisa, unadhani kuchitiwa raha? Tena kwa bibi kizee?

Bora hata angekuwa binti mrembo.

Lakini, Kaunga hebu tumsubiri aje atuelezee ni nini kilitokea.

Ila ujue kuna 'computer crimes' pia, isijekuwa watu wameiba pasiwedi ya mmeo ili upate kiharusi wamchukue moja kwa moja.

Kuna utani wa kutumiana PM?
Utani ni barazani bwana, halafu lilivyobumbuluka anakuja na line hii
"hatauweza mziki wangu, anayeweza ni my swee k tu"
Can you buy it, hata kama ni weye? Eiyer njoo hapa ujieleze, Kongosho kabadilika sasa anataka kutusuruhisha ili tuishi uzuri. LOL
 
Last edited by a moderator:
Tena arudi kabisa, unadhani kuchitiwa raha? Tena kwa bibi kizee?

Bora hata angekuwa binti mrembo.

Lakini, Kaunga hebu tumsubiri aje atuelezee ni nini kilitokea.

Ila ujue kuna 'computer crimes' pia, isijekuwa watu wameiba pasiwedi ya mmeo ili upate kiharusi wamchukue moja kwa moja.
Kongosho, ukiona hapo kwenye RED yamekukuta ujue unatakiwa kufanya ukarabati wa hali ya juu. yaani bibi kizee anakunyima usingizi! tafakari.................... chukua hatua.....................
 
Last edited by a moderator:
ndo maana nampa pole shoga angu kaunga, eti kachitiwa na kizee cha 84?
Hata siamini!

Kongosho, ukiona hapo kwenye RED yamekukuta ujue unatakiwa kufanya ukarabati wa hali ya juu. yaani bibi kizee anakunyima usingizi! tafakari.................... chukua hatua.....................
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom