Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,469
kwa sababu hamjui Kaunga? unaliamini hilo?
Kuna watu wanapenda kudanganywa halafu wanaamini huo uongo ulio wazi; The Boss Kaunga ni mdada ambaye ili usiabike kokote unapokuwa hata kwa Kongosho lazima umvutie taswira ili mambo yateremke!
Fixed Point,
About the topic, wakati nikiwa na mtoto nyumbani l use to be like you, especially kwenye maswala ya kula, kuoga, kulala kwa mtoto. Lakini sasa hivi, l am ashamed to say; recently l travelled for 2 weeks bila kupiga simu kwa mdada wa kazi hata siku moja. Nimempigia about 300m from home nikimwambia afungue gate.
Kitu kingine, my maid ni house manager mzuri sana. Nikisafiri l make sure kuna vitu muhimu kama gas ya kutosha, mboga kama kuku, samaki, ng'ombe, kitimoto, beans, dagaa, vitunguu, mafuta na mistarch yote, chakula cha mbwa etc. Then ninamwachia pesa ya majani, matunda, bread na emergency. Usiku kuna mlinzi so she should be fine, akiwa na shida si atanipigia bwana.
Last edited by a moderator: