Kuendesha nyumba kwa remote control

Kuendesha nyumba kwa remote control

Ni bora kukaa mbali maana yasije yakabumbuluka ukafikiri mimi ndo nimechonga deal. ila kama nakaribishwa who am I to say NO to my friends?

Umeona eeh Fixed Point..tafadhali niambie preferences zako....maadamu umekulia mission, mvinyo utahusu hapo...mengine sijajua....lol
 
Last edited by a moderator:
ooh why not Elizabeth Dominic? we can as well have this discussion on distance housekeeping afresh!

Any preferences please (maana sijakufahamu uzuri unatumia nn au unapenda nini)

Mimi bado kabisa kwenye masuala ya distance housekeeping.....mimi natumiaga mvinyo mwekundu lakini it depends....
 
Last edited by a moderator:
unajua uimara wa utendaji wa kila nyumba ni mama utagundua ukiwa haupo utendaji lazima utapungua hivyo kutoa maelekezo hata ukiwa mbali ni jambo la muhimu sana ili kumantain standard ya unavyopenda familia yako iishi wakati wowote au kuiboresha zaidi hata ukiwa mbali hivyo mi nawashauri wanawake wenzake msiache majukumu yenu hata mkiwa mbali na kina baba pia sio vibaya kufanya hivyo
 
hasa ukipata asie na mapenzi na watoo daah ni lazima kuongea na mtoto mwenyewe kama tayari anaongea na kumuuliza
maana wanapenda tv na kujali cmu kuliko kazi na watoto kuendesha kwa remote control ni muhimu sana
 
hii thread inahusu sana hasa kwa baadae sana. kumbe asubuhi lazima nawashe simu kupokea maelezo na jioni pia.
sasa net kushusha ndo itakua ishu coz nina miaka kibao sijifuniki net, hata ikitokea nikajifunika inafika asubuhi naikuta miguuni au nakuta net imekatika kabisa.
Hii hali sio kusema ni kucontrol bali inamanisha mwanamke anajali na anajua wajibu wake. Mwanaume nyumbani ni kama mtoto tu kwa mwanamke. Mia
 
Wanachit-chat nawasalimu.
kuna hili jambo huwa linanitokea sana.
Utakuta nimesafiri, sipo nyumbani kwa siku, wiki, miezi kadhaa, lakini huwa nina tabia ya kuendesha maisha ya nyumbani kana kwamba sijaacha mtu. kila siku lazima nipige simu kuulizia/kutoa maelekezo (mmepika nini?, watoto wamekula?, jioni mtawapa nini?, kesho toa net uzifue......). sasa najiuliza hii ina maana gani? ni mimi tu au hata wamama wenzangu mnafanya hivi?
wababa wanalipokeaje? wanashukuru kuwa tunawasaidia kuendesha nyumba hata kama hatupo nyumbani au wanaona hatuwaamini?

...@Fixed Point mie sioni kama ni tatizo kabisa hasa kama ajira yako wakati mwingine inakutaka usafiri ndani/nje ya nchi kwa vipindi virefu. Hata kama hauko nyumbani unaweza kufuatilia kuhakikisha kila kitu kinaenda shwari kama vile uko nyumbani. Una bahati FP ungekuwa umepata mwenzi mwenye wivu wa kufa mtu 🙂🙂 angeshakutaka uache kazi ili uwe mama wa nyumbani 🙂🙂 badala ya kusafiri safiri kwa muda mrefu.

Wanaume wengine poa sana kwa jinsi wanavyowakubali wenzao. Akitaka kujiendeleza kielimu ndani au nje ya nchi RUKHSA, kama kazi yake inamtaka kusafiri safiri ndani na nje ya nchi RUKHSA. Wakati mwingine kwenye ndoa kuaminiana ni kitu muhimu sana ili kufanikisha maisha ya ndoa.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom