Kuelekea kuapishwa Biden kuwa Rais wa Marekani raia na askari hawatambuliki wote wamebeba silaha

Biden atakuwa na kazi ngumu ya kurekebisha mambo ya hovyo yaliyofanywa na utawala wa Trump, sawa na itakavyokuwa kwa yule atakayechukua madaraka mwaka 2025 Tanzania.
Huku bongo sio ishu kwasababu urais sio taasisi bali mtu anajiendea anavyotaka mwenyewe. Nchi haina dira kabisa.
 
Uko sahihi lakini wenzetu wako mbali kwenye mambo ya security and kama unavyosema wameimarisha ulinzi sana including federal secrete services personnel.
 
Kama ni mkristo kindakindaki ulitakiwa uwe umenielewa kama ni wa krisimasi hautanielewa, mambo ya unabii siyo ya kila binadamu anaweza kuelewa, that's huwezi kuta andiko limetaja jina la nchi au kiongozi ila matendo.

Hilo andiko kwenye msaafu linaloitaja Marekani liweke hapa tuone kama kweli lipo.
Nikupe mfano unao endana na wewe, Amri ya 6 na 8 zinakutaja wewe ila hakuna jina lako, pale unapoona tabia yako inafanana na amri hiyo ujue ni wewe.
 
Mmh
 
Na hicho ndicho kitakachoisadia USA kuibuka kidedea. Hao wahuni na racists watadhibitiwa ipasavyo na wengi wataishia lupango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…