mods huu mchezo wa kuweka picha za uchi humu unaaanza kushika kasi....... HILI HAMLIONI??
ahh FF wewe ni firauni, hata kufunga sijui unafunga nini!Biskuti na maziwa! akishuta huyo hapakaliki.
Zilongwa mbali zitendwa mbali mkuu, huyo Asigwa anazipenda bana.Wewe kwanini unaangalia??
Mkuu hilo ni listuli aina ya njegere mbichi. Napenda sana kutumia bidhaa kama hizo,tutumie zaidi tafadhali. Tehetehetehetehe...