Kuelekea digital

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
MAANDALIZIYAMTHANI.jpg

matoto hayasikii haya dawa yaho hii hapo chini tu


MTIHANI.jpg


wangapi wangependa kusimamia mitihani baada ya mabadiliko makubwa kufanywa na bar raza la mitihani?
 
Wakoloni walipokuja huu afrika wakawa wanabebwa kwenye zile machela na mijitu mikubwa mweusi walikuwa wanaziita A FREE CAR

walikuwa hawatamani kuondoka kwa raha walizokuwa wanazipata cheki mutoto B. hapo kafika kaja kwenye A FREE CAR anavyofurahi kwa kukata uno.

A FREE CAR RAHA.jpg
 
wanaokubali kuhesabiwa na wasiokubali kuhesabiwa nani zaidi.jpg
wanaokubali kuhesabiwa na wasikubali kuhesabiwa wakimkagua kondoo
 
Kondoo mwenywe Kanonaaaa, tena ni Mpoleeeee na anatoa Ushirikiano wa hali ya juuuuuu!!
Nadhani baada ya hapa jamaa atatangaza wale wa upande wake wakubali Kuhesabiwa.

 
Kondoo mwenywe Kanonaaaa, tena ni Mpoleeeee na anatoa Ushirikiano wa hali ya juuuuuu!!
Nadhani baada ya hapa jamaa atatangaza wale wa upande wake wakubali Kuhesabiwa.



lakini yupi anafwaudu inaoneka huyo mmoja anashangaa tu kwasababu kwaho hawajazoe huyo wapili keshaanza kazi maana anajua vizuri kutumia hizi bhidhaa ila huyo anayehsnagaa sijui kwanini kaamua kushangaa huko sehemu adhimu
 
Saa nyingine hua nawaza Mungu akimwangalia mwanadamu na vibweka vyake hua anatikisa kichwa!
 
Back
Top Bottom