Kuelekea digital

Mwezi mtukufu jamani!!!!!!

ni hivyo mwezi ntukufu bila vishawishi na tuvishinde inakuwa haina maana ni lazima majaribu yawepo na tuyashinde ila ole wake anayeyasababisha. hata vitabu vinaonya
 
lakini yupi anafwaudu inaoneka huyo mmoja anashangaa tu kwasababu kwaho hawajazoe huyo wapili keshaanza kazi maana anajua vizuri kutumia hizi bhidhaa ila huyo anayehsnagaa sijui kwanini kaamua kushangaa huko sehemu adhimu
Unajua huyu aliyekataa kuhesabiwa hajazoea huko alikoshika anajaribu kumuandaa tu, kwake ni huko anakoshangaa huyo aliyekubali kuhesabiwa.

Huyo aliyekubali kuhesabiwa hajakuzoea huko anakoshangaa ndiyo maana hajui matumizi yake. Ngoja huyo aliyekataa akifika huko utaona atafanya nini. Teheteheteheteheeeeee.
 
Back
Top Bottom