Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,126
- 9,593
Tanzania ya Sasa hivi ni ya moto sana, zamani yalipoitishwa maandamano watu walichukulia poa tu, Kwa kujua hakuna atakayetoka.
Kilichotokea MO29, kimetoa blueprint ya maandamano nchini.
Sasa Toka maandamano ya D9 yatangazwe, serikali imenywea kabsa inaogopa kutoa vitisho,na kufanya mazoezi ya pamoja Kwa vyombo vya usalama.
Sasa Kampuni nyingi za mabasi haziuzi tiketi za tarehe 09/12, nyingne kuanzia tarehe 08-10/12 hawauzi, hii imetokana na kuogopa maandamano na gari zao kutiwa kiberiti.
Yaani yakiitishwa maandamano Tanzania, shughuri nyingi katika nchi zitasimama.
Aione
Samuya
Mto wa mbu
Manhattan-USA