Kuelekea agosti 28 jina moja tu litaimbwa majukwaani "Samia, samia, samia"

Kuelekea agosti 28 jina moja tu litaimbwa majukwaani "Samia, samia, samia"

ccm ilianzishwa mwaka 1977! Iliongoza ukombozi wa Taifa lipi? Na kina ushawishi wa kitu gani Afrika?
Mkuu wewe ni wa Burundi sio 🤣🤣🤣🤣 kubadiri jina hakuondoi ukweli kuwa TANU ndio chimbuko lake lakini TAA ndio msingi wa siasa za ukombozi wa taifa letu pendwa Tanzania.
 
Mzalendo uwe wewe🤣🤣
Mzalendo lissu yupo jela
Lissu sio mzalendo, jamaa ni mtuhumiwa na kwa heshima za mahakama zetu tukufu, sitasema neno juu yake. Naachia mahakama kazi iyo.
 
Tafadhari baada ya Tafadhali , mtu akishaandika hivyo tu namwona kilaza na mshamba wa mwisho🚮
Sawa mswahili mahiri ambaye kiswahili chako kinakupa ugali wako wa kila siku.
 
Back
Top Bottom