Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,736
- 14,496
Hakuna upinzani ndani ya chama kwa kuwa Mwenyekiti wa CCM ana nguvu nyingi. Ukitaka upinzani toka njeMna wakati mgumu sana wa kupambana na upinzani wa ndani ya chama. Maana kwa akili zenu duni, mlifikiri upinzani unafanywa na Chadema tu.