Kuelekea agosti 28 jina moja tu litaimbwa majukwaani "Samia, samia, samia"

Kuelekea agosti 28 jina moja tu litaimbwa majukwaani "Samia, samia, samia"

SAMIAAAA
SAMIAAAA
SAMIAAAA
Ukibisha hamia Burundi in Mwigulu's voice.
Kwann lisiimbwe jina moja wakati hajashindanishwa na mtu yyete hata kwenye chama chake. Anaogopa ushindani! Hajawahi kushindanishwa kihalali
 
Nipo Tanzania na family yangu,, uyo Mzalendo wako family yake ipo wapi na anawaza kukinukisha TZ?
Akili za kimasikini zinakusumbua wewe
Kwamba kuishi Tanzania ndiyo uzalendo? Watoto wa malecela wapo wapi? Malecela siyo mzalendo? Kina karume wamekulia wapi? Mbona walikuja kutawala zanzibar?
Fikra za kimaskini hizo
 
Kikosi kikubwa na tumewameza Hadi wapinzani. Kifupi chama dume na uwanja hautoshi. 💚💚💚💚💚
Zama za hicho chama cha wazee zilishapita. Hongeni hizo hela za wauza unga na wakwepa kodi. Wajanja tunawachora tu. NRNE.
 
Zama za hicho chama cha wazee zilishapita. Hongeni hizo hela za wauza unga na wakwepa kodi. Wajanja tunawachora tu. NRNE.
Matapeli hapa Tz utawajua tyuuuu... Hawana hoja kabisa.
 
Chama la wazee bana mnalazimisha vibe lakini wapi. Itabidi muhonge sana kutengeneza mapenzi fake.
Unajitahidi sana kuuza hoja zako mgando hizo. Ila ukweli ni kuwa CCm inakupa kula, usalama,fursa na maisha yako na vizazi vyako.
 
Huyo atapigiwa kura na tume yake ya Uchaguzi,hakuna mtanzania mwenye akili timamu akampigie kura huyo Bi kizee !
Ebu tulia pale, utashuhudia mafuriko ya kura kwa Daktari SAMIA SULUHU HASSAN
 
Back
Top Bottom