Kuelekea agosti 28 jina moja tu litaimbwa majukwaani "Samia, samia, samia"

Prove your point. Uchawa ni neno limetoka kwenye kinywa chako either kwa kufikiri or kuropoka. Anyway haki yako kunena.
Kuna chawa vidampa wa pesa ya mboga, na vibiashara uchwara, na kuna machawa wakubwa ambao wana mikakati yao kabambe ya kiuchumi wa juu zaidi , mbaya zaidi ukute uchawa wako ni kwa sababu za mfanano wa kidini tu🤣🤣🤣
 
Raia kama wewe ndio wale wanaolipwa na watu kuropoka. Niwazi wewe na walio nyuma yako nyote ni vizabizabina. Kama vipi hameni nchi.
 
Ni hame nchi mara ya ngapi bwashee? 😅😅 wewe kale ugali mlenda huko ukalale , hiyo October ukatiki utajua mwenyewe 🚮
 
Wewe elewa na Fanya kivyako. Uhuru Mwalimu alitupatia. Wewe endelea kupiga nyenyenye zakooo. Watanzania wenye akili timamu #OctoberTunatiki✅
 
Ujifunze kuandika siku nyingine , wewe kutiki au kuto tiki ni sawa tu.
 
Back
Top Bottom