MjukuWaBabu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 456
- 721
- Thread starter
- #81
🤣🤣🤣🤣🤣 Sure hoja zako zimekaa kilevi sana Mlevi. Huwezi kuijenga nchi tukikupa na chama chako Cha walevi, zaidi ya kuiuza Ili mpate ela ya kulewa.🤣🤣🤣 Kaka mshahara wako changanya na ya uchawa mimi nalewa siku mbili tu bwashee