Kuelekea AFCON 2027: Kuanzishwe dalaladala na Mwendokasi VIP

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,240
Reaction score
90,298
Usafiri wa umma wa daladala katika Jiji la Dar es Salaam ni mbovu sana na haujawahi kuwa wa kistaarabu, sehemu ya kwenda kwa dakika 45 yanatumika hadi masaa mawili tena huku abiria wamebambiana kama ndizi pamoja na kuvujiana jasho.

Sasa tusiwafanyie hivyo wageni wa AFCON ikiwa hatutanya'ng'anywa haya mashindano. Kuanzia sasa tuanze kuwa na dalaladala za madaraja tofauti kama mabasi, ziwepo dalaladala VIP ambazo hazisimamishi abiria nauli iwe kuanzia 2,000.
 
Wazo zuri, ila hii nchi hawajawahi sikiliza ushauri wa mwananchi wa chini ila wao wanakuja na mipango yao tu.
Nchi hii imejaa wapumbavu tu wenye vitambi ambao hawana uwezo wa kufikiri vizuri. Wakiongozwa na bibi yao (Grandma) muuaji wa watoto wa wengine. Hawawezi kufanya lolote huku duniani na likaenda sawa.
 
Ili uandamane uzichome? We lini ukawa na akili ya maendeleo? Akili yako si ni uhalifu kuwaza kuandamana kuiba na kuchoma mali za watu na za umma
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nchi hii imejaa wapumbavu tu wenye vitambi ambao hawana uwezo wa kufikiri vizuri. Wakiongozwa na bibi yao (Grandma) muuaji wa watoto wa wengine. Hawawezi kufanya lolote huku duniani na likaenda sawa.
Siyo muuwaji wa watoto wa wengine, ni muuwaji wa nyumbu wahalifu wezi na waharibifu wa mali na wewe ukitaka uende akhera toka ukaibe na kuharibu mali.

Muhalifu mkubwa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Usafiri wa umma wa daladala katika Jiji la Dar es Salaam ni mbovu sana na haujawahi kuwa wa kistaarabu, sehemu ya kwenda kwa dakika 45 yanatumika hadi masaa mawili tena huku abiria wamebambiana kama ndizi pamoja na kuvujiana jasho.

Sasa tusiwafanyie hivyo wageni wa AFCON ikiwa hatutanya'ng'anywa haya mashindano. Kuanzia sasa tuanze kuwa na dalaladala za madaraja tofauti kama mabasi, ziwepo dalaladala VIP ambazo hazisimamishi abiria nauli iwe kuanzia 2,000.
Hadi wakati wa AFCON BRT Phase 1,2,3,4 zitakuwa tayari hivyo hakutakuwa na daladala. Bus za mwendokasi za gas na umeme full AC kama za Mbagala ndio zitakuwa barabarani.
 
Siyo muuwaji wa watoto wa wengine, ni muuwaji wa nyumbu wahalifu wezi na waharibifu wa mali na wewe ukitaka uende akhera toka ukaibe na kuharibu mali.

Muhalifu mkubwa.
Wewe ni mbwa usiye na akili fala wewe, unayelipwa ili kutetea mauaji. Mbona wezi wa mali ya umma akina Mwigulu na huyo mama yako mwenye kitumbo kama bakuli hawauawi na wanaiba mali yetu. Fala wewe....siku nyingine jaribu kufikiri kwa kutumia kichwa, tumia makalio yako kwa kazi nyingine pumbavu wewe.
 
Andika comment fupi sina muda wa kusoma utumbo wa nyumbu kama wewe
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Jiji liko shaghalabaghala limechimbwa chimbwa kila mahali kama mgodi wa dhahabu?, lazima tunyang’anywe tu uandaaji wa kombe endapo hatutakamilisha ujenzi na kufikia mashimo mashimo yaliyochimbwa na waChina
Kuna uwezekano mkubwa huko walipochimbachimba wasiweze kumaliza kujenga na kuparudishia kwa miaka miwili ijayo. Hii serikali wanachofanya ni kama wale watu wenye tamaa ya kujaza chakula kingi mdomoni na kukata matonge ya ziada kabla hata hawajameza kilichotangulia.
 
Zitakuwepo nje ya mji. AFCON 2027 mwishoni.
Hata ndani ya mji zitakuwepo, hakuna miujiza inaweza kutoka kuifanya hii serikali iweze kuendesha mwendokasi kwa ufanisi kukidhi mahitaji ya wasafiri wote ndani ya mwaka mmoja na nusu.
 
Usafiri wa umma wa daladala katika Jiji la Dar es Salaam ni mbovu sana na haujawahi kuwa wa kistaarabu, sehemu ya kwenda kwa dakika 45 yanatumika hadi masaa mawili tena huku abiria wamebambiana kama ndizi pamoja na kuvujiana jasho.

Sasa tusiwafanyie hivyo wageni wa AFCON ikiwa hatutanya'ng'anywa haya mashindano. Kuanzia sasa tuanze kuwa na dalaladala za madaraja tofauti kama mabasi, ziwepo dalaladala VIP ambazo hazisimamishi abiria nauli iwe kuanzia 2,000.
Afcon huwa haiwi na mashabiki wengi wanaosafiri kutoka nchi mbalimbali , haina haja ya kujihangaisha mashabiki kutoka mataifa mengine unaweza kuwaandalia mabasi VIP kila siku ya mechi kuwafikisha uwanjani na kuwarudisha full stop huku sisi tukiendelea na maisha yetu kama kawaida.
 
Inategemea na mechi na nchi,
Kwa mechi kama za timu ya South Africa, Zambia, Nigeria, Congo, Msumbiji, Angola, Comoro na baadhi yaWaarabu zitakuwa na watu wengi.
 
Back
Top Bottom