********kudownload movie///////// | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

********kudownload movie/////////

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by The only, Aug 15, 2011.

1. The only

The only JF-Expert Member

#1
Aug 15, 2011
Joined: May 19, 2011
Messages: 1,423
Likes Received: 942
Trophy Points: 280
mambo wakuu.asee mdogo wenu nashida ya kujua mitandao ya kudown load movie free of charge maana mingi unakuta uwe member afu mlolongo mrefuu asee viongozi nisaidieni,pia nackia hata jf pia ina hiyo huduma

2. Mu-sir

Mu-sir JF-Expert Member

#2
Aug 15, 2011
Joined: Oct 12, 2010
Messages: 3,633
Likes Received: 471
Trophy Points: 180
3. tototundu

tototundu Senior Member

#3
Aug 15, 2011
Joined: Jul 29, 2009
Messages: 193
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
4. The only

The only JF-Expert Member

#4
Aug 15, 2011
Joined: May 19, 2011
Messages: 1,423
Likes Received: 942
Trophy Points: 280
asee musa nimeicheki nimeambiwa ili niwe member inabidi member aniinvite ,unaweza nsaidia kwa hilo kiongozi

5. sijui nini

sijui nini JF-Expert Member

#5
Aug 15, 2011
Joined: Sep 29, 2010
Messages: 2,382
Likes Received: 306
Trophy Points: 180
KICK ASS TORRENT wewe inakupasa uwe na ka kitu haka tu utorrent kwenye kopmyuta yako uinstall then waweza daownload the latest movies na kitu kingine chochote kile utakacho...actually zipo torrents site nyingi tu ambazo ukishakuwa na hako ka utorrent unajiachia utakavyo...

6. k

komredi ngosha JF-Expert Member

#6
Aug 15, 2011
Joined: Jan 11, 2011
Messages: 381
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
wanakuzingua dogo. Nenda torrentz.com kila movie imo tena bure!

7. tototundu

tototundu Senior Member

#7
Aug 15, 2011
Joined: Jul 29, 2009
Messages: 193
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
8. Nzowa Godat

Nzowa Godat JF-Expert Member

#8
Aug 15, 2011
Joined: Jun 15, 2011
Messages: 2,630
Likes Received: 153
Trophy Points: 160

Pia kuna uc browser.com hii ina movie na video za wakati wote, halafu kuna xhamster.com, japo sishauri sana kufungua tovuti hii.

9. Shakazulu

Shakazulu JF-Expert Member

#9
Aug 15, 2011
Joined: Feb 23, 2007
Messages: 940
Likes Received: 10
Trophy Points: 35
10. M

Mtandu Member

#10
Aug 15, 2011
Joined: Apr 28, 2011
Messages: 60
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Nimeitembelea hiyo 'torrentz.com'. Movie ni nyingi lakini huwezi ku-download bila kujiunga na kulipia. Ufafanuzi zaidi unatakiwa maana tunaotafuta kujua namna ya kupata hizo movie na miziki ni wengi. Anayejua atueleze vizuri na kwa ufasaha tafadhali maana sio wote ni 'computer literate'.

11. m

mbojeinc Member

#11
Aug 15, 2011
Joined: May 31, 2011
Messages: 18
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Download utorent au vuze(hizi ni software) alafu uinstal kwenye kompyuta, baada ya hapo fungua google.com andika kitu unachokitaka malizia na neno torrent then search. mfano: the lincoln lawyer torrent,  Jay-z and kanye west-watch the throne torrent, n.k.

utapo search kwenye google itakuletea torrent websites nyingi zenye hicho kitu ulicho search, napendekeza uwe unafungua, isohunt.com au thepiratebay.org!!!

12. P

Paul S.S Verified User

#12
Aug 15, 2011
Joined: Aug 27, 2009
Messages: 5,933
Likes Received: 276
Trophy Points: 180
Mkuu jaribu kutulia na kufuata maelekezo uliyopewa hapa chini na tototundu

Or try this
https://www.jamiiforums.com/downloadz/136339-best-free-download-links-100%25-free-serial-cracks-patch-all-u-need.html

13. M

Mtandu Member

#13
Aug 16, 2011
Joined: Apr 28, 2011
Messages: 60
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Umenisaidia sana ndugu yangu. Asante. Nimefuata hatua zote lakini mwishoni ilikuwa inanilekeza niji-registe, process ambayo inaambatana na malipo. Sijui nakosea wapi. Lakini nakushukuru. Asante sana.

14. X-PASTER

X-PASTER Moderator

#14
Aug 17, 2011
Joined: Feb 12, 2007
Messages: 11,651
Likes Received: 105
Trophy Points: 160
Fungua hapa ahashare ni bure wala huna haja ya kujisajili, vilevile unaweza kuingia hapa extratorrent

15. P

Paul S.S Verified User

#15
Aug 17, 2011
Joined: Aug 27, 2009
Messages: 5,933
Likes Received: 276
Trophy Points: 180
Mkuu fanya hivi hakikisha umedownload utorrent (click hapa kudownload) na kisha install ktk Pc yako.
Baada ya kuinstall utorrent click moja ya site hapa chini

Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The world's most resilient BitTorrent site

btjunkie - the largest bittorrent search engine

http://www.kat.ph/

isoHunt

Ukisha click na kufungua moja ya site hapo juu, then katika search box andika jina la move unayotaka ku download kisha click search
Baada ya hapo itafungua page yenye matokeo ya move uliyosearch, hapo saa chagua katika list penye seeders wengi au wameandika kifupi S(usichague za sponsored results)
kisha click hiyo uliochagua yenye seeders wengi na itafungua ukurusa wenye details za move na option ya kudownload.
Hapo sasa unatakiwa kuclick palipo andikwa "download this torrent" au "download torrent", (achana na palipo andikwa sijui direct au highspeed au vinginevyo)
Baada ya kuclick download torrent au download this torrent utorrent uliyo install ktk Pc yako itadaka na kuanza kukuuliza unataka kudownlod kwa uttorent click ok, youre done

16. King Kong III

King Kong III JF-Expert Member

#16
Aug 17, 2011
Joined: Oct 15, 2010
Messages: 25,153
Likes Received: 2,401
Trophy Points: 280
17. tatizomuda

tatizomuda Member

#17
Aug 17, 2011
Joined: May 5, 2011
Messages: 49
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
18. SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

#18
Aug 17, 2011
Joined: Aug 25, 2010
Messages: 7,081
Likes Received: 1,817
Trophy Points: 280
Kama uko US nakushauri uachane na hii biashara ya illegal music/movie downloading wazee wa makoti marfu watakugongea mlango sasa hivi!
Kama uko nje ya US ni poa

19. Masikini_Jeuri

Masikini_Jeuri JF-Expert Member

#19
Aug 17, 2011
Joined: Jan 19, 2010
Messages: 6,809
Likes Received: 364
Trophy Points: 180
na ujiandae pia kuuwa mashine yako; nakushauri usijiunge kwenye torrents kwa kutumia mashine yenye umuhimu kwamaana ya ofisi au kazi muhimu kwako; chagua mashine ama tenga mashine siyokuwa na kazi..............yote yangaayo si dhahabu!

20. M

Misterdennis JF-Expert Member

#20
Aug 18, 2011
Joined: Jun 4, 2007
Messages: 1,521
Likes Received: 118
Trophy Points: 160
Mkuu fafanua basi, nini kinweza kutokea?

Loading...