Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

vuze/torent takes time lkn kwality iko bomba, imagine just to download 700MB takes 3 days whn you download for 24 hrs everyday

Mkuu Pape, nafikiri hiyo itakuwa tatizo ni connection zako kwa ISP unayotumia. Miye mtumiaji mkuu wa Vuze, na ipo faster ile mbaya inategemea na watu wangapi wapo na hilo file unalodownload.

Jana nimeshusha 702MB kwa 50min na hiyo ni kwa sababu ya file lenyewe halikuwa na watu wengi vile. Average file la 700MB linachukua kati ya 14 to 20min. speed ya cable modem yangu ni 2.5MB/s.

Mambo wakuu. Asee mdogo wenu nashida ya kujua mitandao ya kudown load movie free of charge maana mingi unakuta uwe member afu mlolongo mrefuu asee viongozi nisaidieni,pia nackia hata jf pia ina hiyo huduma.

mambo wakuu. Asee mdogo wenu nashida ya kujua mitandao ya kudown load movie free of charge maana mingi unakuta uwe member afu mlolongo mrefuu asee viongozi nisaidieni, pia nackia hata JF pia ina hiyo huduma
KICK ASS TORRENT wewe inakupasa uwe na ka kitu haka tu utorrent kwenye kopmyuta yako uinstall then waweza daownload the latest movies na kitu kingine chochote kile utakacho. Actually zipo torrents site nyingi tu ambazo ukishakuwa na hako ka utorrent unajiachia utakavyo.

Nimeitembelea hiyo 'torrentz.com'. Movie ni nyingi lakini huwezi ku-download bila kujiunga na kulipia. Ufafanuzi zaidi unatakiwa maana tunaotafuta kujua namna ya kupata hizo movie na miziki ni wengi. Anayejua atueleze vizuri na kwa ufasaha tafadhali maana sio wote ni 'computer literate'.

Nimeitembelea hiyo 'torrentz.com'. Movie ni nyingi lakini huwezi ku-download bila kujiunga na kulipia. Ufafanuzi zaidi unatakiwa maana tunaotafuta kujua namna ya kupata hizo movie na miziki ni wengi. Anayejua atueleze vizuri na kwa ufasaha tafadhali maana sio wote ni 'computer literate'.

Download utorent au vuze(hizi ni software) alafu uinstal kwenye kompyuta, baada ya hapo fungua google.com andika kitu unachokitaka malizia na neno torrent then search. mfano: the lincoln lawyer torrent,  Jay-z and kanye west-watch the throne torrent, n.k.

utapo search kwenye google itakuletea torrent websites nyingi zenye hicho kitu ulicho search, napendekeza uwe unafungua, isohunt.com au thepiratebay.org!!!

Nimeitembelea hiyo 'torrentz.com'. Movie ni nyingi lakini huwezi ku-download bila kujiunga na kulipia. Ufafanuzi zaidi unatakiwa maana tunaotafuta kujua namna ya kupata hizo movie na miziki ni wengi. Anayejua atueleze vizuri na kwa ufasaha tafadhali maana sio wote ni 'computer literate'.
Mkuu jaribu kutulia na kufuata maelekezo uliyopewa hapa chini na tototundu

download kwanza utorrent: Download - µTorrent - a (very) tiny BitTorrent client
halafu tembelea baba wa tovuti zote za torrent hapa: Torrent Search Engine

unabakia kulipia tu volume tu (download/upload).
Or try this
https://www.jamiiforums.com/downloa...100%-free-serial-cracks-patch-all-u-need.html

Umenisaidia sana ndugu yangu. Asante. Nimefuata hatua zote lakini mwishoni ilikuwa inanilekeza niji-registe, process ambayo inaambatana na malipo. Sijui nakosea wapi. Lakini nakushukuru. Asante sana.

mambo wakuu.asee mdogo wenu nashida ya kujua mitandao ya kudown load movie free of charge maana mingi unakuta uwe member afu mlolongo mrefuu asee viongozi nisaidieni,pia nackia hata jf pia ina hiyo huduma
Fungua hapa ahashare ni bure wala huna haja ya kujisajili, vilevile unaweza kuingia hapa extratorrent

Umenisaidia sana ndugu yangu. Asante. Nimefuata hatua zote lakini mwishoni ilikuwa inanilekeza niji-registe, process ambayo inaambatana na malipo. Sijui nakosea wapi. Lakini nakushukuru. Asante sana.
Mkuu fanya hivi hakikisha umedownload utorrent (click hapa kudownload) na kisha install ktk Pc yako.
Baada ya kuinstall utorrent click moja ya site hapa chini

Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The world's most resilient BitTorrent site

btjunkie - the largest bittorrent search engine

http://www.kat.ph/

isoHunt

Ukisha click na kufungua moja ya site hapo juu, then katika search box andika jina la move unayotaka ku download kisha click search

Baada ya hapo itafungua page yenye matokeo ya move uliyosearch, hapo saa chagua katika list penye seeders wengi au wameandika kifupi S(usichague za sponsored results)
kisha click hiyo uliochagua yenye seeders wengi na itafungua ukurusa wenye details za move na option ya kudownload.

Hapo sasa unatakiwa kuclick palipo andikwa "download this torrent" au "download torrent", (achana na palipo andikwa sijui direct au highspeed au vinginevyo)

Baada ya kuclick download torrent au download this torrent utorrent uliyo install ktk Pc yako itadaka na kuanza kukuuliza unataka kudownlod kwa uttorent click ok, youre done

Mambo wakuu. Asee mdogo wenu nashida ya kujua mitandao ya kudown load movie free of charge maana mingi unakuta uwe member afu mlolongo mrefuu asee viongozi nisaidieni, pia nackia hata JF pia ina hiyo huduma
Kama uko US nakushauri uachane na hii biashara ya illegal music/movie downloading wazee wa makoti marfu watakugongea mlango sasa hivi.

Kama uko nje ya US ni poa

Na ujiandae pia kuuwa mashine yako; nakushauri usijiunge kwenye torrents kwa kutumia mashine yenye umuhimu kwamaana ya ofisi au kazi muhimu kwako; chagua mashine ama tenga mashine siyokuwa na kazi. Yote yangaayo si dhahabu!

Na ujiandae pia kuuwa mashine yako; nakushauri usijiunge kwenye torrents kwa kutumia mashine yenye umuhimu kwa maana ya ofisi au kazi muhimu kwako; chagua mashine ama tenga mashine siyokuwa na kazi. Yote yangaayo si dhahabu!

Mkuu fafanua basi, nini kinweza kutokea?

Back
Top Bottom