Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Unauliza jibu, computer itacrush, pole saana na chunga Ndg yangu!Mkuu fafanua basi, nini kinweza kutokea?
Unauliza jibu, computer itacrush, pole saana na chunga Ndg yangu!Mkuu fafanua basi, nini kinweza kutokea?
Unauliza jibu, computer itacrush, pole saana na chunga Ndg yangu
Asee stagevu ni baraaaaa nimekupigia salute sir.Usipate tabu ndugu yangu gungua Home - Stagevu: Your View hapo ukifungua andika movie yoyote unayotaka then ikija unabofya then kuna option mbili download na play so kazi kwako hakuna registration yoyote pia tembelea Watch Movies Online - Download Movies - Watch Free Online TV-Shows - watch-movies.net nayo poa kabisa ukitaka kuangalia online au kudownload ni wewe tu pia hakuna registration yoyote
Plz nitumieni link on my email : bg_dg_dy@yahoo.co.uk
Plz nitumieni link on my email : bg_dg_dy@yahoo.co.uk
Jamaa anataka link, wewe unarukia kwa mbele! haya elewa ujumbe vizuri mkuu.
Mkuu jaribu "Torents", unadownload then install harafu unaendelea kujirusha! weekend njema, mi nagandamiza hapa saizi!!
JS;3210124]fanya hivi: unainstal software inaitwa u-torrent. link hii µTorrent - a (very) tiny BitTorrent client
halafu ukishakuwa nayo hiyo utaingia google kama kawaida utafute website inaitwa btjunkie au nikuwekee link: btjunkie - the largest bittorrent search engine
halafu kwenye search box ya btjunkie andika jina la movie unayotaka kudownload. itakuletea search findings nyingi. i was told the best movies in quality audion and video ni kuanzia 700 - 900mb. utaclick kwenye hiyo ultakayochagua halafu itakupa download link ukiclick hiyo link sasa inategemea unatumia chrome au mozilla au explorer lakini something will pop ambayo itakuprompt usave au itajisave yenyewe and once you click on the pop up au saved folder itakupeleka moja moja kwenye torrent ambayo itaanza kudownload. am not so good in explaining lakini nadhani umeelewa. ni njia rahisi na ndo nayojua tu unless kama kuna mtu anajua namna nyingine mbali ya junkie na torrent atusaidie
Are you sure?Achana na hayo mabo ya torrents,utakesha kudownload movies!
Torrents mbona ndo dunia mpya, kwenye torrents utapata kudownload almost kilakitu na unaweza kuPause na kuResume downloads bila kuanza mwanzo, speed yake kubwa kilinga na seed na leechers wa hilo file, ukitumia media fire umeme ukakatika tu na computer ikazima :hatari: imekula kwako kuanza mwanzo kunakuhusu !! nakushauri utumie (isohunt.com, kickasstorrents.com, etc)
Jamani nimeistal hiyo torrents lakini nashindwa kuitumia, nafanyaje? Nikitaka ku-download music pia yawezekana? Nipeni maujuzi