Nadhani negative msg ya namna Watz walivyoipokea hutuba yake na yote yaliyojili katika safari yake nzima imeshamuingia. Kwa jinsi ninavyowafahamu kile chama walishafanya maandalizi ya kutosha ila naona wamekatazana kimyakimya. Unajua kule ccm kukusanyika na kushangilia upuuzi kwao ni ajira hivyo muda wote wao hutafuta platform ili waweze kutimiza matukio kama hayo na mwisho wa siku ndiyo ajira na teuzi mbalimbali zinazoendelea.Hata wale wazee wa Darisalam hawajaenda kumpokea?