Kudorora mapokezi ya Rais Samia kutoka Marekani Tatizo limeanzia hapa...

Nderemonderemo na vifijo hapa na pale.
Kama sijasahau sana enzi za JK, alikuwa anapokelewa na viongozi kadhaa ; PM, VP, mkuu wa mkoa na baadhi ya viongozi anasalimiana nao ,,anaingia kwenye gari lake anasepa kuelekea ikulu. Idea ya ndelemo na vifijo uwe ni ubunifu ambao nao utaikost budget ya nchi, maana mbongo kila penye jambo naye huweka jambo lake.

JPM hakuwai kuenda ila nadhani naye asingesupport kufanyiwa sherehe ya mapikezi ya kutoka UN.
 
Mkuu umeshasahau. Walikuwa wnaapokea Mfugale akileta ndege wanakusanya wananchi hutoka morogoro na dodoma.
 
Ulikua unataka watu waende kucheza ngoma pale airport sio! Watu wengine bhana sijui akili zenu mmeficha kwenye masaburi?!
 
Ulikua unataka watu waende kucheza ngoma pale airport sio! Watu wengine bhana sijui akili zenu mmeficha kwenye masaburi?!
Kwani ccm wana kazi nyingine zaidi ua hizo??

Juzi tu kuapisha Rais wa Zambia Kamati kuu ya ccm yote imebebwa🥰😅
 
Watanzani tusiwe majuha.

Kazi yake kutowa speech na amefanya vizuri hana haja ya kupokewa wala maandamano.
hawo wanaotaka kufanya hayo ni kujipendekeza.
 
Watanzani tusiwe majuha.

Kazi yake kutowa speech na amefanya vizuri hana haja ya kupokewa wala maandamano.
hawo wanaotaka kufanya hayo ni kujipendekeza.
Wafanye tu kama walivyokuwa wanafanya kupokea used planes za ATCL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…