Kudorora mapokezi ya Rais Samia kutoka Marekani Tatizo limeanzia hapa...

Hotuba yake ilijaa ujinga mwingi, nimeisoma yote chakushangaza neno Covid 19 limejirudia zaidi ya mara kumi, Tanzania tunashida nyingi sana na kama tunahitaji mchango kutoka nje angejikita huko.

Muhimu zaidi, umasikini, ujinga, maradhi ni matatizo sugu way way back before hiyo Covid yao.
 
Hotuba yake ilijaa ujinga mwingi, nimeisoma yote chakushangaza neno Covid 19 limejirudia zaidi ya mara kumi, Tanzania tunashida nyingi sana na kama tunahitaji mchango kutoka nje angejikita huko.
Alidhani atapatia Kiki kwa kuwa mtangulizi wake akiwaudhi Mabeberu kwa kuwa Chief Dinier in Covid
 
Umelenga mulemule, hotuba iliandaliwa kishamba sana na kwa sasa ni dhahiri kaonyesha ni kwa jinsi gani anaweza kutumiwa akatumika, kama alitumika na Magufuli na akaicheza ngoma ya kisukuma vilivyo, leo imewekwa ngoma nyingine ya pwani ndio hivyo sasa anaserebuka nayo kuliko kawaida. Pathetic.
 
Sote ni mashahidi tangu juzi kuna kakikundi ambako sidhani kama ni watanzania kweli au wachumia tumbo tu wanaolipwa kushibisha nafsi zao au la!

Tangu juzi tumeshuhudua kukurukakara za hapa na pale za kutaka kuaminisha watanzania wachache kuwa Rais Samia Suluhu alitoa hotuba ya kihistoria. Ile ni hotuba ya kawaida sana.

Kwanza niwajulishe tu walioona na kusoma hotuba ya Rais ni watanzania wachache tena wanasiasa ambao wana access ya Mitandao ya kijamii. Huko vijijini na mikoani wala hawama habari na kinachoendelea. Wengi ktk mikoa ya kanda ya ziwa na magharibi hiki ni kipindi cha kuandaa mashamba ya kilimo ktk msimu wa mvua ujao.

Hata hivyo kumekuwa na jitihada za kutaka kulikuza jambo hili kwa kile kilichoandaliwa kama mapokezi ya Rais kutoka Marekani.

Mbali na vijitangazo vidogo vidogo sijaona tukio lolote mahali popote likishangiliwa na watanzania. Sijaona Tv wala mtandao wa social media hata ule wa vijigazeti la chama.

Watanzania wamesusa. Wamesusa kwa sababu hawafurahishwi na kinachoendelea nchini

Matukio ya kubambikiza watu kesi za ugaidi yamewachukiza sana watanzania wapenda amani, haki na maendeleo. Watanzania wamekatishwa tamaa na namna nchi inavyoendeshwa kupitia Tozo na kodi lufufu.

Watanzania hawawezi kufurahia tukio la Mtu na kikundi cha watu wachache kwenda marekani huku wakiacha uvunjifu mkubwa wa haki za kikatiba kama uhuru wa vyombo vya habari, haki za kukusanyika na kufanya shughuli za kisiasa na uchumi.

Nimuombe Mama Rais Samia Suluhu hajachelewa. Arekebishe mienendo yake ya utawala. Ajikite kulinda haki za wananchi makundi yote wakulima, wafugaji, wafanyabiashara, watumishi wa umma na wanasiasa.

Akifanya hivyo hatahitaji nguvu kubwa kusherehesha watanzania. Wakiwa na Furaha watampokea mgeni bila kutumwa.

Si Whatsapp, twitter, facebook, youtube wala instagram huoni shamra shamra. Wikendi imepoa sana kama hakuna kitu.
 
Sahihi anaweza akatumika vyema. Proved.
 
Walialikana hawajafika??
IMG-20210924-WA0127.jpg
 
Watanzania ni waelewa sana, kama hawapendi kitu wanakaa kimya!
Kwenye hotuba yake amesahau kuuambia Ulimwengu
"nimekuja kujitambulisha" bila kusahau jinsia yake!
Ziara zake zote ni hasara tu, kama nchi tumeliwa
 
Back
Top Bottom