Naomba kutofautiana na wewe katika hili
hapa shrink yao imetokana na excess supply
Price has gone down
Which is good kwa sisi watumiaji
Sioni ni kwa nini wewe ulalamike kwa hili
hizi taarifa za kusainiwa na kina masha hizi zinamashaka.
ndio maana Simba cement imepotea mda huku Arusha
Usihangaike sana kumjibu huyo mwanachadema zamani alikuwa ana jificha kwenye kivuli cha muandishi huru.....hahahahahNaomba kutofautiana na wewe katika hili
hapa shrink yao imetokana na excess supply
Price has gone down
Which is good kwa sisi watumiaji
Sioni ni kwa nini wewe ulalamike kwa hili
Dah nimeona Lawrence Masha tu!!! Kuna watu wamebarikiwa....
Nawewe twambie kuhusu Twiga cement na Dangote cement...Maoni yako yanachekesha sana
Hufikirii production costs
Hufikirii kupungua kwa demand
Hufikirii masuala ya excessive taxes
Unafikiria kisehemu kidogo Sana kwamba ni excess in supply?
Yapo mengi sana hapa na justification ya hali ilivyo kwa sasa
Naomba kutofautiana na wewe katika hili
hapa shrink yao imetokana na excess supply
Price has gone down
Which is good kwa sisi watumiaji
Sioni ni kwa nini wewe ulalamike kwa hili