Kudorora kwa Uchumi Tanzania: Tanga Cement wala hasara, waamua kuweka bayana!

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
e90e085a9fa0d1a7efd68426f744d4bd.jpg


Hii ni ishara kuwa Vyuma vimekaza zaidi ya kawaida.

Huenda Zitto ni mwongo lakini taarifa hizi haziumiumi na wala hazihitaji siasa kuzielewa.
 
Mimi nimefurahi kuona Lawrence Masha ndo Mwenyekiti(?) wa body ya Simba Cement. Ifike mahali wafanyabiashara waweze kuchagua na kujiunga na chama chochote bila kuhofia mstakabali wa biashara zao dhidi ya tasisi za serikali.
 
Naomba kutofautiana na wewe katika hili
hapa shrink yao imetokana na excess supply
Price has gone down
Which is good kwa sisi watumiaji
Sioni ni kwa nini wewe ulalamike kwa hili


Maoni yako yanachekesha sana
Hufikirii production costs
Hufikirii kupungua kwa demand
Hufikirii masuala ya excessive taxes
Unafikiria kisehemu kidogo Sana kwamba ni excess in supply?
Yapo mengi sana hapa na justification ya hali ilivyo kwa sasa
 
hizi taarifa za kusainiwa na kina masha hizi zinamashaka.

Hivi bei ya cement ilivyoshuka baada ta dangote kuanziasha kiwanda ulitegeme viwanda vingine vya siment vingepata faida.

Hii ni kawaida hata kwa biashara ya nyanya mkuu haiitaji masha asign ndo ujue ni ukweli au uongo

Kyna wakati tutimie uelewa wa kawaida tu na si lazima kila kitu tukichukulie kwamba ni wapinzani ndo wamepika majungu.

Bei ya viwanya imeshuka na watu hawajengi no money.
Bei ya kuuza nyumba imeshuka nk nk nk

Sasa unategemea bei ya simenti ipande
 
Naomba kutofautiana na wewe katika hili
hapa shrink yao imetokana na excess supply
Price has gone down
Which is good kwa sisi watumiaji
Sioni ni kwa nini wewe ulalamike kwa hili
Usihangaike sana kumjibu huyo mwanachadema zamani alikuwa ana jificha kwenye kivuli cha muandishi huru.....hahahahah
 
Maoni yako yanachekesha sana
Hufikirii production costs
Hufikirii kupungua kwa demand
Hufikirii masuala ya excessive taxes
Unafikiria kisehemu kidogo Sana kwamba ni excess in supply?
Yapo mengi sana hapa na justification ya hali ilivyo kwa sasa
Nawewe twambie kuhusu Twiga cement na Dangote cement...
Ukishindwa ushindani na bidhaa yako ikikosa wateja haiwezi kuwa ishara ya kushuka kwa uchumi bali ni wewe kuzidiwa,.....
 
Hii inaitwa 'Profit Warning'... Kwa kampuni yeyote iliyokuwa listed ni lazima iwataadharishe wanahisa wake juu ya uwezekano wa kupata hasara katika mwaka husika kabla haijafunga vitabu vyake vya hesabu.
 
Naomba kutofautiana na wewe katika hili
hapa shrink yao imetokana na excess supply
Price has gone down
Which is good kwa sisi watumiaji
Sioni ni kwa nini wewe ulalamike kwa hili

Chief hata hiyo laiti ingekuwa ni sababu, ndo operating profit ishuke kwa maasilimia yote hayo?. 125% to 135%?
 
Back
Top Bottom