Kudorora kwa Uchumi Tanzania: Tanga Cement wala hasara, waamua kuweka bayana!

Nilijua tu post kama hii haitakosekana, time will tell

Huwezi kuuacha huo ukweli,

1: Walikuwa wanaiba ili wajenge
02: Walikuwa wanalipwa per diem ya kusafiri nje ili wajenge
03: Walikuwa wanalipwa per diem ya kusafiri ndani ya nchi ili wajenge
04: Walikuwa wanalipwa seating allowances ili wajenge
05: Walikuwa wanafanyia mikutano hotelini ili wale bure wa-save ili wajenge
06: Walikuwa wanalipwa mishahara ya wafanyakazi hewa ili wajenge
07: Walikuwa wanakwepa kodi kwenye vibiashara vyao ili wajenge
08: Walikuwa wanafanya ufisadi ili wajenge
09: Walikuwa wanakula rushwa ili wajenge
10: Walikuwa wanachukua ten percent ili wajenge
 
Sasa watu wanatoleana povu la nini!Kiwanda kimetoa sababu wengine wanapinga
 
Na kwa jinsi mapesa yalivyocheua serikalini hadi ajira za watu wa afya zimesitishwa ili serikali ipange kwanza jinsi ya kuwalipa mishahara minono zaidi wakiwaita kazini.
 
Uwingi wa viwanda na kushuka kwa bei ya cement imekiumiza kiwanda cha Simba cement, Dodoma ni karibu na Tanga lakini utakuta Cement ya Dangote toka Mtwara ndo imetapakaa.
 
Kampuni ya kina masha watakuwa wamepigwa hela na hao wazinza.
 
How about their fixed price?

Is directly proportion to market demand and supply?

Do they consider other suppliers price (competitors price)

How about their market coverage ( products availability)

Watanzani wa interiors wanatafuta bidhaa zenu hazipatikani how would sales rise/increase??

Kampuni nyingi huwa hazioneshi turnover zao but waki experience loss ndio wanakuja kulalamika.

Wanatakiwa watrace external factors

1.Lazima wajue producers wa bidhaa za cement ni wengi wakiongozwa na dangote na twiga ukitoa imported one. ( competition)

2. Dangote anatoa cement mtwara mpaka kigoma, Mara, Mwanza etc

Wao hapo Tanga tu Arusha manyara ni ishu kupata bidhaa zao. (Product's availability)
3. Competitors price etc
 
23130501_1333713920091434_4953373213756275085_n.jpg


Source:
No dividend as profit tumbles, reveals Swissport
 
Back
Top Bottom