samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,174
Wizara ya viwanda na biashara, Wizara ya nishati na madini wakae pamoja na kujadili namna ya kufanya kuhakikisha viwanda vya ndani vinazalisha kwa low production cost na kusimamia soko la ndani la bidhaa kutoka viwanda husika..
Cement industry inatakiwa ifuatiliwe kwa karibu sana maana bado mamia ya watanzania wanakaa kwenye makazi duni yanayohitaji cement, kushuka bei kwa cement kufanya ujenzi uwe nafuu kwa mtanzania.. Serikali ikae na viwanda vireview system zao za uzarishaji ili kushusha production cost, Serikali ihakikishe kunakuwa na power supply kwenye viwanda vyote muda woote ili kuepusha matumizi ya diesel power ambayo ni more cost, Serikali irahisishe upatikanaji wa gas viwandani ili kupunguza au kuacha matumizi ya Coal na mafuta mazito, Serikai ipige marufuku na kusimamia importation of coal na ihakikishe Tancoal wanafanya uzarishaji wa kutosha wa coal..