Kudanganya......

Aisee..... kumbe ukipiga fix afu wakatabasamu wanakuwa wanajua umewafix ila wanakuwa hawana jinsi... ngastuka!!

AU kwa kuwa wanajua hata wakijua unawafix hawana jeuri ya kukuzuia lol

Sasa hivi mwendo ni kusema kuna mechi ya John Cena vs Rafael Nadal
 
Lol! Manake sie ndo hatujui kudanganya? Unapewa miadi ngoja kwanza, kuna issues nahitaji kuweka vizuri. Tujuane uzuri (kama kuna dalili ya ghorofa si ntaona walau mchanga unamwagwa ama tofali elfu kumi? Tuna akili zetu timamu usije ukadhani tunadanganyika, ebooo!ukiona umetoa hela bandia ikapokelewa ujue cheni ni bandia hehehehe!
We msichana wa kike waweza kuedit post yako hii........ unakumbuka Singular and Plural? Stuka! Wanadanganyiiiikaa!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hapana babu, sio kama hawana jeans wala jinsi, wanajua wapi wanakufix. Yaani miaka yoote anaangalia game lako na ashindwe kujifunza hat tricks? Kalaghabaho,lol! Ww unapokuwa na RR ama bi joy unajua yeye anakuwa wapi? Ni swali tu, mi staki kuwa mind reader, don't burst my bubble!
Aisee..... kumbe ukipiga fix afu wakatabasamu wanakuwa wanajua umewafix ila wanakuwa hawana jinsi... ngastuka!!

AU kwa kuwa wanajua hata wakijua unawafix hawana jeuri ya kukuzuia lol
 
Hapana babu, sio kama hawana jeans wala jinsi, wanajua wapi wanakufix. Yaani miaka yoote anaangalia game lako na ashindwe kujifunza hat tricks? Kalaghabaho,lol! Ww unapokuwa na RR ama bi joy unajua yeye anakuwa wapi? Ni swali tu, mi staki kuwa mind reader, don't burst my bubble!
Hahaha...... Anakuwa home anamsaidia Matesha homework........... Na si unajua ushahidi wa watoto huwa hauna mashaka?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Asprin, siku nyingine ukienda nyumba ndogo usiage wala usilale huko...... Mwambie unaenda kutembea. Full stop . Hii huepusha maswali
 
Last edited by a moderator:
Lol! Manake sie ndo hatujui kudanganya? Unapewa miadi ngoja kwanza, kuna issues nahitaji kuweka vizuri. Tujuane uzuri (kama kuna dalili ya ghorofa si ntaona walau mchanga unamwagwa ama tofali elfu kumi? Tuna akili zetu timamu usije ukadhani tunadanganyika, ebooo!ukiona umetoa hela bandia ikapokelewa ujue cheni ni bandia hehehehe!

Na sisi tunapo danganywa na kukubali kudanganywa huwa tunakuwa tuna akili timamu lakini malengo yangu yakitimia basi nabadilika sasa kama kinyonga hata nyie huwa mnakuwa hivyo.
 
Asprin, siku nyingine ukienda nyumba ndogo usiage wala usilale huko...... Mwambie unaenda kutembea. Full stop . Hii huepusha maswali
Nashukuru sana BADILI TABIA kwa ushauri wako mzuri. Nakushukuru pia kwa kukubali ombi langu la kubadili avatar. Ntashukuru zaidi kama utaniPM tutete jambo flani hivi la kubadilishana tabia.

Sitafurahi kama utanidanganya.
 
Last edited by a moderator:
Kama madhara ya kusema ukweli ni makubwa kuliko kusema uongo, we danganya tu! Ila usikamatwe.
hapo kwenye RED ni muhimu sana, maana ukikamatwa kasheshe yake itakuwa kubwa kuliko ile ya kusema ukweli
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hapana............mada ni kwa nini unadanganya na unayemdanganya anajua unamdanganya.

Ukweli unauma, na nikijua moyo utauma............nidanganye danganye tuuu!!!!
:whistle:

.....hahahahaha....we'r on the same page now.... Tuendelee...
 
Nashukuru sana BADILI TABIA kwa ushauri wako mzuri. Nakushukuru pia kwa kukubali ombi langu la kubadili avatar. Ntashukuru zaidi kama utaniPM tutete jambo flani hivi la kubadilishana tabia.

Sitafurahi kama utanidanganya.

si unajua your wish is my command? Ikabidi nibadili tu.........
Nakupiemu kama ifuatavyo.......
 
Last edited by a moderator:
Hata nami naona ni madharau yaliyopitiliza. Nachukia sana watu wa namna hii, mwanangu na nieces na nephews wangu wanajua mama/aunt kuliko umdanganye bora umwambie ukweli mtakuwa buddies.

Personally huwa sioni sababu ya kudanganya kwani nachukulia hiyo ni kujidanganya, bora nisikuambie chochote kuliko kukudanganya!

....umeona ee? ni madharau tu aisee...
 
Kuna nini hapa?
Soulmate umedanganywa? pole

................. Unajua uongo hauepukiki kama vigezo na masharti havizingatiwi. Mie nitazungumzia uwongo ndani ya mahusiano ya kindoa au kwa wenye mahusiaono ya muda mrefu ambapo mara nyingi ile hali ya urafiki huwa imetoweka au haipo. Mf. mdanganywaji akiwa mkoloni sana, mkali sana anakaribisha mazingira ya kudanganywa.

Lakini pia akiwa ni mtu ambaye kitu kidogo anakibebea bango yaani hadi unashangaa, lazima atamfanya mwenzi wake amdanganye tu.

But mnapokuwa na mahusiano ya kirafiki inakuwa rahisi pia kwa mtu kuwa huru na asichukue nguvu nyingi kuanza kutafuta uongo wa kudanganyia.

Na pia ni vema kwa anayedanganywa, kama ni rafiki na kajua kuwa kadanganywa, awe muwazi tu kwa aliyemdanganya kuliko kugumia maumivu kisirisiri!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
....hehehe....

Uongo huu 'nishadanganyiwa' nao sana, sawa na ule '...sijawahi nanihiwa kama unavyoninanihii (matusi) wewe!".... imekuwa kama chorus vile....:D

....uongo huo naukubali bana, "kula n'kule!"..
umeonaeeeee mbu!!! yaani kudanganya ni must!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Serious mkuu hili swala lipo kabisa na unaona unadanganywa live hivi hivi kwa kweli haipendezi kabisa hata kidogo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
.....mwanajamiiOne, nilitaka kuku Quote server ipo slow....

Umegusia jambo la maana sana, " .......saa ingine jambo dogo mwenzio analibebea bango"....

Dogo kwako, kubwa kwa mwenzio bana. I agree nawewe haina haja ya kuliweka rohóni, ndio maana Mbu mie nikishakubaliana na mwenza wangu jambo fulani halifai, likirudiwa nakumbushia makubaliano yetu, mara ya tatu siulizi tena. Najipa jibu 'nimedharauliwa' tulivyokubaliana.

....unless kwa thread hii (na bado sijafanikiwa) naweza pata jibu tofauti...
 
Serious mkuu hili swala lipo kabisa na unaona unadanganywa live hivi hivi kwa kweli haipendezi kabisa hata kidogo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Papizo, halafu usiombee huyo anayekudanganya nawe uwe unampenda sana.... Inauma kichizi bro. Mbu mie ukweli huniponza lakini angalau na justifications zangu za kuutetea ukweli wangu.

Utateteaje uongo bana? Kwanza ogopa sana yule anayekudanganya na macho kakukodolea...
 
Back
Top Bottom