Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Bibie pesa kuipata kazi kubwa lazima ujifanye japo chizi ndio waweza kupata pesa pasipo na hivyo huwezi kupata pesa.Hizo poda kama wanga hahaahahaahha
Bibie pesa kuipata kazi kubwa lazima ujifanye japo chizi ndio waweza kupata pesa pasipo na hivyo huwezi kupata pesa.
Pesa posa! baada ya hapo anapigwa mzinga na 'she' wake
Akina joti nao walianzia huku, japo siku izi dharau nyiingi.
Hao washikaji utakuta mademu zao wamewatosa kisa labda hawako mambo safi.