Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,342 Reaction score 10,688 Nov 11, 2013 #41 hahahaha, watoto wameagwa nyumbani baba kaenda kazini.
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Nov 11, 2013 #42 MziziMkavu said: Click to expand... Tuite "Fedha fedheha AU Mtaka cha uvunguni sharti ainame. kama kuinama kwenyewe ndio huku, kweli ipo kazi!
MziziMkavu said: Click to expand... Tuite "Fedha fedheha AU Mtaka cha uvunguni sharti ainame. kama kuinama kwenyewe ndio huku, kweli ipo kazi!
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Nov 12, 2013 #43 farkhina said: Hahahaha kwani kuna ubaya gani? Click to expand... Ndo hapo ukiskia tunalia wanaume tumeumbwa mateeso kuhangaika ujue tunalia na mengi...
farkhina said: Hahahaha kwani kuna ubaya gani? Click to expand... Ndo hapo ukiskia tunalia wanaume tumeumbwa mateeso kuhangaika ujue tunalia na mengi...