Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 5,992
- 12,327
Kwanini hukumchunguza kwenye uchumba?Mkuu uchunguzi sio kumfuatilia mtu kiasi hicho, ila kama una muda sio mbaya kufanya uchunguzi kwa kiasi hicho.
Swali.
Ni nini haswa kinakufanya uogope kumfuatilia mwenza wako?
Unahisi mwenza wako ni mchafu, kwahyo unaogopa utamuacha?
Unajijua we ni mchafu kwahyo ukimchunguza mkeo ni sawa na kupoteza muda?
Pia kuishi na Ke kwa akili ni kuwa na tahadhari "kupenda kwa kiasi" maana huyo Ke si Malaika lakini si kuishi kwa kumchunguza, utajipunguzia uhai wako mapema sana nakati dona na nguluka ni tamu balaa
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app