Kuchunguzana kwenye ndoa ni udhaifu

Kuchunguzana kwenye ndoa ni udhaifu

Unahisi una uwezo wa kumchunguza mkeo?
Mkuu inawezekana ukiamua.

Tatizo lako wewe kuchunguza unachukulia yani ni kama kuwa Investigator wa kwenye Muvi.

MAMBO HAYAPO HIVYO MKUU.
 
Nadhani sio sahihi kwa kukaa kwa kuchunguzana siku zote isipokuwa kama umeanza kuona dalili au viashiria fulani hapo unaruhusiwa kuchunguza ila kabla ya kuanza kuchunguza lazima uwe majibu yote mawili kwamba uchunguzi wako ukija negative utafanyaje na ukija positive utafanyaje na sio unamchunguza mpaka unamfumania halafu unaishia kuomba msamaha hapo utakuwa unajizamisha mwenyewe!!!!
Upo sahihi Mkuu.

Watu wengi wanaogopa kuwachunguza wenza kwasababu hawawezi kuwaacha wakijua machafu.
 
Kumchunguza ni lazima, Hata yeye huwa ananichunguza

Uzuri wa mimi kumchunguza siyo lazima nishike simu yake, naweza kumchunguza remotely

Nikigundua siyo mwaminifu namuacha wakati wowote

Siwezi kuishi nyumba moja na mwanamke mchepukaji
Vizuri Mkuu.

Kuna watu wanaogopa kuwachunguza wenza kwasababu hawawezi kuwaacha wakijua machafu (Nonsense).
 
Hapo ni sawa na kuibiwa simu then unaipiga ili mwizi apokee!! Hivi unategemea kuongea naye kitu gani?! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Muoe na kuolewa na wenzi wenye hofu ya Mungu, hawa sungura tope watawapa visukari
Upo sahihi Mkuu.

Lakini suala la kuchunguzana halina mipaka, haijalishi wewe unahofu au hauna. Ni lazima utachunguzwa tu!

UKIMCHUNGUZA MWENZA NA UKAGUNDUA KUWA NI MUAMINIFU, BASI UPENDO HUWA UNAONGEZEKA MARADUFU [emoji7]
 
Jana yamenikuta...nimeshamhisi wife kudate na jamaa mmoja anaejidai kumuita kaka. Yaani jamaa mpaka home kwangu huja kwa kuwa tunafanya biashara zinazofanana. Miezi kama mitatu hivi wife amekuwa anaongea nae kwa simu lakini lazima ahakikishe yuko peke yake yaani hata nikiwa karibu nae akipokea utasikia kaka naomba dakika 5. Basi jana kaomba dakika tano halafu akaforce kunisisitiza kufanya jambo flani ili niondoke. Kweli nikaondoka lakini nikaacha simu ikirekodi bila yeye kujua. Nilichokuja kukutana nacho sitasahu maishani. Tuko kwenye mchakato wa kuachana.
 
Kupenda kwa kiasi kupo sana tu, kama uliwapenda Wazazi wako lakini ulifikia hatima ya kuwaacha kwenu na kuanza familia nyingine na Ke ambaye hujui malezi wala mazingira yake kabla hukukutana naye kimahusiano ndiyo ushindwe kuwa na kiasi kumpenda?

Kupenda kwa kiasi = Mapenzi "Ubongo/Akili".

Kupenda kupita kiasi = Mahaba "Moyo/Hisia".

Jambo lolote katika maisha lazima ulifanye kwa kiasi la sivyo litakufanya uwe mtumwa sana kimateso.

Ukipata misheni ya bingo la maaana nnje ya nchi hata kwa miezi 6 au mwaka mmoja tu ukajinyakulie ubilionea hakika hutakubali sababu unampenda sana Mkeo kwa wivu uendeshwao na mahaba (UPUMBAVU), huoni jinsi unavyogharamika hapa duniani?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mkuu hakuna kupenda kwa kiasi (Nakataa).

Kutumia akili ni jambo la kawaida kwenye mahusiano, siwezi kumlaumu mtu anaekuwa Bwege kwa mwenza na kusema eti hajapenda kwa kiasi.

Upendo haupimiki na hauna kipimo Mkuu. Wewe kubali tu kuwa kupenda na kuacha ni maamuzi na sio kwamba kuna kupenda kwa kiasi.
 
Jana yamenikuta...nimeshamhisi wife kudate na jamaa mmoja anaejidai kumuita kaka. Yaani jamaa mpaka home kwangu huja kwa kuwa tunafanya biashara zinazofanana. Miezi kama mitatu hivi wife amekuwa anaongea nae kwa simu lakini lazima ahakikishe yuko peke yake yaani hata nikiwa karibu nae akipokea utasikia kaka naomba dakika 5. Basi jana kaomba dakika tano halafu akaforce kunisisitiza kufanya jambo flani ili niondoke. Kweli nikaondoka lakini nikaacha simu ikirekodi bila yeye kujua. Nilichokuja kukutana nacho sitasahu maishani. Tuko kwenye mchakato wa kuachana.
Pole sana Mkuu.

Mtu ambae hana mapenzi nawewe sio wa kuishi nae. Najua inakuuma ila amini kuwa muda utakuponya na hutojuta kuachana na huyo mwanamke malaya.
 
Pole sana Mkuu, na Hongera sana Mkuu.

Mtu ambae hana mapenzi nawewe sio wa kuishi nae. Najua inakuuma ila amini kuwa muda utakuponya na hutojuta kuachana na huyo mwanamke malaya.
Sina muda wa kumchunguza mtu mzima mwenye akili zake, akitaka kugongwa huko nje acha agongwe tu
 
Yes unachunguza nini sasa.. unachokitafuta lazima ukipate.
Km anagongwa anagongwa tu hata umchunguze vipi, wewe tulia omba mchezo gonga kojoa endelea na mishe zingine usijipe mawazo yasiyo na msingi
 
Sina muda wa kumchunguza mtu mzima mwenye akili zake, akitaka kugongwa huko nje acha agongwe tu
Umesahau kuongezea kuwa, na akikuletea magonjwa ya zinaa acha akuletee.!


Umesahau kuongezea kuwa, na akikuletea watoto wa nje acha akuletee.!




Ushauri - VIJANA MNAOTAKA KUOA INABIDI MUTAFUTE MENTORS WENYE MISIMAMO YA KIUME NA WANAOJIELEWA, MAANA SIO KILA ALIEOA ANAWEZA KUWA MENTOR WA NDOA.



KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mwenzio unashea kila kitu mpk mwili afu simu asishike una ajenda gani ya siri unamficha nini HIZI NDOA ZA SAIV ZIMEJAA UONGO NA MAIGIZO KIBAO NDIO MAANA ZONASHINDIKANA KILA SIKU mtu ambaye ni mwaminifu utakuta hata siku moja ana complain suala la simu na mwenzake.
 
Kwani kwenye ndoa watu hawabadiliki Mkuu?

Kama umeoa na unasema ivi basi unanipa mashaka mm Bachelor ninaetaka kuingia huko.
Sema nini ni haki yako kujua mwenzi wako anaenenda vipi

Kwahiyo chunguza tu
 
Umesahau kuongezea kuwa, na akikuletea magonjwa ya zinaa acha akuletee.!


Umesahau kuongezea kuwa, na akikuletea watoto wa nje acha akuletee.!




Ushauri - VIJANA MNAOTAKA KUOA INABIDI MUTAFUTE MENTORS WENYE MISIMAMO YA KIUME NA WANAOJIELEWA, MAANA SIO KILA ALIEOA ANAWEZA KUWA MENTOR WA NDOA.



KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hilo atajua mwenyewe kikubwa nagonga nakojoa basi eti nianze kuwaza anagongwa na fulani alafu najipa kazi ya kikachero huo ni upuuzi nina Mambo mengine ya kufanya sio kumchunguza mtu mzima mwenye akili zake,
 
Mwenzio unashea kila kitu mpk mwili afu simu asishike una ajenda gani ya siri unamficha nini HIZI NDOA ZA SAIV ZIMEJAA UONGO NA MAIGIZO KIBAO NDIO MAANA ZONASHINDIKANA KILA SIKU mtu ambaye ni mwaminifu utakuta hata siku moja ana complain suala la simu na mwenzake.
Wanaficha usaliti wao ndio maana hawataki kushikiwa simu.

Ukijiuliza kwanini walioana na wakati wanafichana mambo (Unakosa Jibu)

UKIONA MTU HATAKI KUCHUNGUZWA, BASI TAMBUA KUWA ANA VITU VYA HOVYO ANAFANYA.
 
Back
Top Bottom