Miti7
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 1,378
- 2,534
Hiyo haikupi hitimisho la kutofuatilia nyendo za mkeoAnaweza akawasiliana na simu nyingine tofauti na uliyomnunulia hapo unaonaje? Kikubwa usijue ukijua ndio tatizo na kujua ni ngumu hawa viumbe wana mbinu nyingi za kivita
ANAISHI kwenye nyumba yangu, anakula chakula changu, akiumwa ni mimi nawajibika kumpeleka hospitali. Iweje aishi tu kama atakavyo?