Labda kama hukusoma na hujui vizuri neno uchunguzi linavyogharimu muda, pesa na vitendea kazi kukamilisha uchunguzi kwa ufanisi.
Hekaheka za maisha ndani ya ndoa ni nyingi sana labda ikulazimu uachane kabisa na inshu za majukumu ubaki kumchunguza Mkeo 24/7 angalau kwa miaka 10-15 ndipo ujue tabia za Mkeo kwa 75%.
Majibu yake yanaweza kuwa mazuri au mabaya kulingana na ukweli au uongo utaopatikana, mwitikio wa majibu na maamuzi toka kwa Muhanga "Mume".
Kama si kupoteza muda, pesa na kugharimu uhai wako upotee kwa sababu ya BP, Kisukari, Vidonda vya tumbo, Stroke hata kugongwa na gari na kufa mapema ni lipi zaidi?
Hutambui kuwa Ke huwa hatabiriki (muda wowote hubadilika) hata baada ya huo uchunguzi kukupa faida kwa tabia zake?
Sent from my CPH2387 using
JamiiForums mobile app