Kuchunguzana kwenye ndoa ni udhaifu

Kuchunguzana kwenye ndoa ni udhaifu

Wanaficha usaliti wao ndio maana hawataki kushikiwa simu.

Ukijiuliza kwanini walioana na wakati wanafichana mambo (Unakosa Jibu)

UKIONA MTU HATAKI KUCHUNGUZWA, BASI TAMBUA KUWA ANA VITU VYA HOVYO ANAFANYA.
Case closed
 
Sema nini ni haki yako kujua mwenzi wako anaenenda vipi

Kwahiyo chunguza tu
Watu wanao share-Bed ni kosa la jinai kufichana mambo, maana nyinyi ni mwili mmoja na mmeunganisha na Dini zenu mlipooana.

SIRI ZA NINI KWENYE NDOA? KAMA UNATAKA UHURU WA KUTOCHUNGUZWA BASI USIOE/KUOLEWA.
 
Eeeh mkuu mimi ninayoyashuhudia ulimwenguni swala la kuoa litakuwa gumu sana
Usiogope Kuoa Mkuu, ogopa kumruhusu Mwanamke asiefaa kuwa kwenye ndoa nawewe.

WATU WEMA BADO WAPO, NA HATA KAMA HUJAMPATA BASI UNANAFASI YA KUJIENGUA UNAPOONA MAMBO HAYAENDI.

Mwanamke akiwa anakupenda kweli na ukamuelimisha kuhusu heshima ya ndoa, basi utainjoi sana mapenzi.

USIKATE TAMAA MKUU.

Nb. Mimi sijaoa na bado niponipo sana.
 
Hilo atajua mwenyewe kikubwa nagonga nakojoa basi eti nianze kuwaza anagongwa na fulani alafu najipa kazi ya kikachero huo ni upuuzi nina Mambo mengine ya kufanya sio kumchunguza mtu mzima mwenye akili zake,
Na akikuletea magonjwa ukawa kitandani sasa sijui hizo kazi zako utazifanyaje.

ACHA UBISHI, KUBALI KUJIFUNZA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Acha aniue tu akiamua hata kwenye chakula anaweza kuniwekea sumu nife, tunaishi mara moja kuchunguzana chanzo cha migogoro isiyo na kichwa wala miguu unaweza ukahisi hivi kumbe ni hivi
 
Jana yamenikuta...nimeshamhisi wife kudate na jamaa mmoja anaejidai kumuita kaka. Yaani jamaa mpaka home kwangu huja kwa kuwa tunafanya biashara zinazofanana. Miezi kama mitatu hivi wife amekuwa anaongea nae kwa simu lakini lazima ahakikishe yuko peke yake yaani hata nikiwa karibu nae akipokea utasikia kaka naomba dakika 5. Basi jana kaomba dakika tano halafu akaforce kunisisitiza kufanya jambo flani ili niondoke. Kweli nikaondoka lakini nikaacha simu ikirekodi bila yeye kujua. Nilichokuja kukutana nacho sitasahu maishani. Tuko kwenye mchakato wa kuachana.
Pole mkuu! Mna watoto?
 
Usiogope Kuoa Mkuu, ogopa kumruhusu Mwanamke asiefaa kuwa kwenye ndoa nawewe.

WATU WEMA BADO WAPO, NA HATA KAMA HUJAMPATA BASI UNANAFASI YA KUJIENGUA UNAPOONA MAMBO HAYAENDI.

Mwanamke akiwa anakupenda kweli na ukamuelimisha kuhusu heshima ya ndoa, basi utainjoi sana mapenzi.

USIKATE TAMAA MKUU.

Nb. Mimi sijaoa na bado niponipo sana.
Watu wema wapo lakini wanaumizwa kila siku wameachana na mapenzi wako Bize wanatafuta ela, wanaangalia movie, wanacheza games na ndo ninakoelekea
 
Acha aniue tu akiamua hata kwenye chakula anaweza kuniwekea sumu nife, tunaishi mara moja kuchunguzana chanzo cha migogoro isiyo na kichwa wala miguu unaweza ukahisi hivi kumbe ni hivi
Kwa hili jibu lako sina lengine la kuongeza.

Kila la kheri Mkuu.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Watu wema wapo lakini wanaumizwa kila siku wameachana na mapenzi wako Bize wanatafuta ela, wanaangalia movie, wanacheza games na ndo ninakoelekea
I hope uta-change mtazamo wako huu!

MAISHA YA FAMILIA NI BORA KULIKO KITU CHOCHOTE KILE.

KUMTAFUTA MWENZA SAHIHI NAYO NI KAZI KAMA KAZI NYENGINE, USIKATE TAMAA.

MTAFUTE UTAMPATA ALIEBORA, ILA USISAHAU NAWEWE KUWA MBORA.
 
Sawa asante
 
Kwa hili jibu lako sina lengine la kuongeza.

Kila la kheri Mkuu.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Ndio hivyo ukweli ni mchungu Ila akiwa anagongwa atagongwa tu kikubwa asinigomee kumgonga,
 
Nikihisi au nikagundua anagongwa nje mimi siwezi kuwa na Nyege naye tena

Hakuna uhuru usio na mipaka. Kama anataka uhuru asiolewe abaki single wajigongee huko mpaka wachoke
 
Si ndio mpaka umgundue,
 
Usimlazimishe mwenzako kuwa WEAK kama wewe Mkuu.

Umechagua kuwa weak tumekubaliana na uamuzi wako huo.

Usiwaambukize udhaifu wako wengine.
Hujajibu swali ushawahi kugundua mkeo anagongwa?
 
Si ndio mpaka umgundue,
Kuna wengine huwezi kumgundua bila kumchunguza

Binafsi mke wangu hanikatazi kushika wala kutumia au kubaki na simu yake

Kama alivyosema mdau hapo juu kuwa siyo lazima umchunguze wakati wote bali pale unapohisi kuna kitu siyo Sawa ni sahihi kumchunguza
 
Issue sio simu anaweza akawa anagongwa na mawasiliano hayapiti kwenye simu au unakagua app zote anazotumia hata zile anazozi-install na ku-unstall?
 
Simu namnunulia mimi na kumpa aitumie, kabla sijampa simu aitumie mimi nakuwa nimeshafunga humo mitambo yangu, hivyo chochote atakachofanya kitakuwa recorded na nitapata taarifa bila mimi kushika simu yake

Kwanini uishi nyumba moja na mwanamke mchepukaji? Si aende huko kwao akaendelee kulala na hao jamaa kuliko kujiita ameolewa na bado anagongwa na wengine?
 
Anaweza akawasiliana na simu nyingine tofauti na uliyomnunulia hapo unaonaje? Kikubwa usijue ukijua ndio tatizo na kujua ni ngumu hawa viumbe wana mbinu nyingi za kivita
 
Chunguza kila eneo, akikuletea mikao ambayo hujaizoea chukua hatua mapema kwa kumbana akwambie amejifunzia wapi hiyo mikao.
 
Back
Top Bottom