Gaijin ipo sana tu labda we hujawahi kuona,usijiangalie wewe angalia familia zinazokuzungukaSiamini kuzaliwa na "Bahati ya kuchukiwa bila sababu"
Hakuna hicho wala kitu "damu haziendani" kwangu.
Anaekuchukia ana sababu japo ziso msingi na inawezekana mwenyewe hazijui tu
Gaijin ipo sana tu labda we hujawahi kuona,usijiangalie wewe angalia familia zinazokuzunguka
Hivi unachukia tabia za mtu kutokana na kukosana naye au hata usipokosana naye bado utachukia tabia zake?Kuchukiwa bila sababu? Sidhani kwa kweli.
Kama mtu anachukiwa constantly basi kuna kitu toka kwake (attitude, character, etc) kinamfanya achukiwe. akibadili hicho kitu ataona mambo yake yanabadilika pia.
umeficha ukweli,ila nakuja na swaliMie sijakutana nayo hiyo kwa hata familia zilizonizunguka.
Mi nadhani ni mitizamo tu, vitu ukiviangalia kwa jicho fulani ndio hivyo hivyo vinavyokuwa
umeficha ukweli,ila nakuja na swali
That being said, who doesn't have a story of feeling hated for all the wrong reasons at one or another occasion?
Siamini kuzaliwa na "Bahati ya kuchukiwa bila sababu"
Hakuna hicho wala kitu "damu haziendani" kwangu.
Anaekuchukia ana sababu japo ziso msingi na inawezekana mwenyewe hazijui tu
Kuchukiwa bila sababu? Sidhani kwa kweli.
Kama mtu anachukiwa constantly basi kuna kitu toka kwake (attitude, character, etc) kinamfanya achukiwe. akibadili hicho kitu ataona mambo yake yanabadilika pia.[/
QUOTE]
Ni kweli sema unakuta mtu mwingine anajiona yeye yuko sahihi na wengine ndio wenye problem.
Kisaikolojia hii inaelezewa na dhana ya projection.
Unaweza kudhani kila aliyekuzunguka hakupendi wakati huenda wewe mwenyewe ndiyo hujipendi na huko kutokujipenda ndiyo
kunapelekea udhani kuwa watu hawakupendi.
Au unaona kama vile umezungukwa na watu wachoyo kumbe ukweli wa mambo wewe mwenyewe ndiyo mchoyo ila hujijui tu!
Mara nyingi mtu ambae anasema kua anachukiwa bila sababu ni tu kwamba hataki face facts kua kuna sababu zimefanya achukiwe, hizo zaweza kua sababu za msingi ama za kijinga, Lakini siamini kua kuna kuchukiwa bila sababu.... Why mtu out of No where akuchukie alafu ujustify kua umechukiwa bila sababu? Sometimes it is good kujitazama upya kupata jibu.... You may not like the truth thou....