Haiwezekani kila mtu awe ni mbaya kwako, kila mtu anakuchukia, wewe tu, kila mtu hakutendei haki, kila mtu ana kasoro?
Je wewe ndivyo unavyoishi hivi? Kama jibu ni ndiyo au kama una mtu wako wa karibu ambaye anaishi katika mtindo huu wa maisha, unapaswa kujua kwamba, una mtu ambaye ana matatizo makubwa.
Kwa nini?
Ni kwa sababu haiwezekani kila mtu akawa kama mwingine, yaani akikuchukia huyu na yule ni lazima atakuchukia, ni lazima hatakutendea haki na mengine ya aina hiyo. Kwa nini sasa wote wawe na tabia za aina moja, yaani wafikie kukuchukia?
Kwa kuwa watu hawafanani kitabia, kimwenendo na kimtazamo, ni wazi ukiona wote wanakuchukia wewe, tatizo haliko kwao, kwa sababu hawawezi wote kuwa na mkabala wa aina moja. Ina maana kwamba wewe ndiye ambaye hujipendi na kutojipenda kwako kunaonekana kwa watu hao.
Tunaposhindwa kujipenda, hasira dhidi yetu huwa tunazitolea kwa watu waliotuzunguka. Kwa hiyo kama unahisi kwamba watu wanakuchukia, jitahidi kujiuliza kuhusu jambo hilo. Ni wazi haliwezi kuwa jambo la kweli hata kidogo. Kama ni kuchukiwa, hivi inawezekana ukachukiwa na kila mtu kweli?[FONT=Times New
Roman][/
COLOR][/FONT]
I believe it has a lot to do with general demeanor and attitude. Some people apparently appear to have a negative vibe about them regardless. That being said, who doesn't have a story of feeling hated for all the wrong reasons at one
or another occasion?
Kwa hiyo kumbe si kweli ile dhana ya mtu kusema watu wananichukia bila sababu.
LABDA NIANZE KWA KUSEMA USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA
AWALI YA YOTE NI KWAMBA MM NILIKUWA NA DADA YANGU ILA SASA AMESHAPONA MUATHIRIKA WA ISHU HII NA KWA MDA
MREFU NIMEKUWA NIKIJARIBU KUFWATILIA
KWA NINI , MWISHOWE NIKAGUNDUA HAYA
YAFUATAYO,
1~Kama unaamini kuwa watu wote hatufanani basi jua kwamba wapo wenye bahati ya kupendwa/kukubalika na kila mtu bila sababu na wapo wa kukataliwa/kuchukiwa na kila mtu bila sababu na hiyo ndo inaitwa damu ya kunguni. Ukiachilia mbali hiyo wapo watu wengi ambao unakuta baadhi ya watu wanakukubali an baadhi wanakukataa hivyo inakuwa 50-50 na hiyo haina haina shida.
2~Kama huamini juu ya hili ni-contant kwa PM nikuingize shule ya Philosophy juu ya SPIRITY of REJECTION kwa binadamu, mpaka wanyama.
KIUKWELI ANAYEPINGA JUU YA HILI NI KWAMBA BADO NI MCHANGA KIFIKRA ILA UKIKUTA MTU ALIYECHIMBA VITABU NA ALIYESOMA PHILOSOPHY OF ANIMALS ATAKWAMBIA, NA
NDIO MANA WAPO ALBINOZ KWA KILA KIUMBE NA MIMEA.[/
QUOTE]
Ndugu hii spirit of rejection ndio ile wanasema roho ya kukataliwa?Kuna mama mmoja niliwa kusoma mahali anasema mwanae tangu mdogo watu walikuwa tu hawampendi,hata alivyokua kindergarten akienda kumchukua anamkuta wenzake wakiwa wanacheza,yeye yuko pembeni anacheza peke yake,nilishangaa kwa kweli.
watu huchukiwa kwa sababu fulani fulani....
Hivi ni kweli kwamba kuna mtu anakuwa anachukiwa bila sababu,yaani kwamba kazaliwa tu hivyo.
Acha ile hali ya kawaida kwa mwanadamu
kuwa hawezi kupendwa na wote,hata manabii hawakupendwa na wote.
Lakini kuna ile unakuta mtu popote anapokuwepo inatokea hapendwi yaani iwe chuoni,ofisini au kwenye jamii kwa ujumla.
Sasa je ni kweli kuna kitu kama hicho yaani mtu anakuwa tu hapendwi?Au muhusika anakuwa ndio sababu ya yeye kuchukiwa kwa sababu mbalimbali ikiwepo tabia n.k?
Nimeshawahi kusikia neno ...damu ya kunguni...,utasikia fulani ana damu ya kunguni anachukiwa tu bila sababu,ni kweli???
Kuna ile dhambi ya kukataliwa
Bila kumchukia mtu mwenyewe naweza sana kuchukia tabia yake, hata bila kukosana.Hivi unachukia tabia za mtu kutokana na kukosana naye au hata usipokosana naye bado utachukia tabia zake?
Sio kwamba unamuhusisha na jambo fulani ndio maana humpendi.labda kulala bungeni mfano...