Kuchimba kisima na kununua tanki la maji bora nini?

ismail hassan

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
685
1,612
Je, ukitumia kisima kama hiki na source ya maji ikawepo, je? kuna ufanisi gani katika kusambaza maji ndani yakawa yanatomika chooni bafuni na jikon, na huku bafuni bomba la mvua linatumika,je!

Yatapanda kwa kasi zaidi au kutakuwa na shida tofauti na ukanunua simtank?
Natanguliza shukrani.
FB_IMG_1589361095546.jpeg
 
Mkuu hata hicho kisima ambacho nmeweka picha yake hapo juu kitahitaj pump? ili kusukuma maji?
SimTank huwekwa juu ili kuruhusu 'presha' inayotegemea kimo kusukuma maji ndani...

Tanki likiwa chini au kisima, utahitaji kuwa na pampu itayosukuma maji ndani...

Sent using [Samsung galaxy s10]
 
mkuu hata hicho kisima ambacho nmeweka picha yake hapo juu kitahitaj pump? ili kusukuma maji?

Sent using [Samsung galaxy s10]
Mkuu maji yanatoka point A kwenda point B kwa kufuata njia ambayo tunaita mkondo. Sasa kuna mikondo ya aina mbili,mkondo wa kulazimisha na mkondo usio wa kulazimisha.

Mkondo wa kulazimisha ni pale unapotaka maji yatoke point A ambayo ipo chini au sawia na point B. Hapo inabidi utumie kifaa kama pampu.

Mkondo usio wa kulazimisha ni pale maji yanapotoka point A ambayo ipo juu kwenda point B ambayo ipo chini. Hapa huitaji pampu. Sasa basi ili wazo lako litimie hakikisha unatengeneza mkondo wa maji katika mfumo wako wa nyumba.
 
Shukraan mkuu nimkupata

Back
Top Bottom