Kilimo cha nyanya na mbogamboga kwa njia ya umwagiliaji

Makini joo

Member
Mar 28, 2017
22
34
Wataalamu naomba kuuliza.. Nina ekali 1 na nusu, iko tambalale kabisa, na kuna kisima cha kuchimba na mashine, kina maji mengi sana ya kutosha, na tanki lake lipo juu la lita elfu 10.

Eneo hilo lipo kigamboni mbutu, ardhi yake ina rutuba tuu, maana kilimo cha mvua tuu kwa mazao madogo madogo ya kula nyumbani yana stawi.

Nashawishika kulima kilimo cha nyanya cha kumwagilia, au hata vitunguu.

Je, NI KWELI KILIMO HICHO KINALIPA?.kama ambavyo naona mitandaoni huku na kule?. Naomba ushauri..
 
kwa maji ya kumwagilia na kukiwa na jua kali, maua mengi hayatabeba matunda.
 
Back
Top Bottom