Kuchepuka raha

Asante ndiyo muache kuumiza wake zenu unavyoumia wewe hata yeye vilevile hana moyo wachuma na kwa mke mwenye busara hawezi from no where aanze kucheat no ss eti m upo mbali miezi 3/4 siku ukirudi umechoka et mpaka mke alilie kidudu kama kama mtoto analilia pipi hiyo haki uvumilivu unamwisho Mungu mwenyewe alisema bora yaishe kwa wana wa Israel na kuwasokomeza baada dhambi kuwa too much, halafu ndoa inapofungwa mwanamme ndiyo huanza kuuzwa, mkigeuziwa mkuki pressure juu acheni kuumiza wenza wenu na majibu yakuudhi
 
Huko bar kinacho waweka kushikashika manyonyo yanayochezewa chezewa kama mihogo inavyochaguliwa pale buguruni sokoni
 
Ni kweli kabisa, family nyingi zinasimama, watoto wanafika mbali kwa ajili ya mama kupambana.
MUNGU atujaalie maisha marefu kina mama wote Amen.
Kina baba mutuombee (in magu's voice)
Tena hiyo mijitu ikishapata kazi inaanza wanawake sijui akili zao wanazijua wenyewe wakati yy mwenyewe ada ya baba yake haijui baba k huko mtaani mama anasota naye huko mtakufa mapema jirekebisheni machozi ya wanawake mabaya na kama alikuwa mwaminifu kwako
 
Kichwa ndiyo kitaanza kuulizwa kwanini dishi lake liliyumba mpaka kiwiliwili kikapoteza mwelekeo
 
Si ndiyo hapo yeye akasuuze huko halafu mke akae na stress zake sasa nani amsaidiye hivi mme anaye timiza mjukumu yake sizani mke mwenye busara na maadili anaweza chepuka hamu itoke wapi? Kwanza ni dhambi kumbuka yule amsababishae mwenziye makwazo ndiye wakwanza kupata kisago mbele za Mung.
 
Duh!
 
Si wanajua wakishakuweka ndani wamemaliza. Haya ngoja tu wasaidiwe.
Wanawafanya mapazia ya mlangoni wakati kama ni nguo chakula alikiacha kwa baba yake akaambatana na mme, wasipotulia watalea sana watoto wasio wao mke anakaa miezi 3 siku akimkuta mkunaji mimba lazima na kitanda hakizai haramu mtoto anatoka mrembo huyo au bonge la handsome
 
Ndoa iheshimiwe na watu wote sio ndoa iheshimiwe na mke tu!,,!!!!! Au nimekosea
 
Zamu yangu lini?
 
Umemdharirisha mmeo kusema anakibamia na pia hayo sio maamuz sahihi kuchepuka ila utakuja kujuta cku moja kila la heri na mchepuko wako
Sio kumdhalilisha mme anajidhalilisha mwenyewe unazani michepuko hasemi kwa wenziwe? Hujui wezi wa wame za watu yule sio mme atasema kwa shoga zake pale nachuna taratibu hana chochote uchafu ni kwasababu nishakula hela zake hamjijui tu wanasemaga kweli kidole cha mwisho hakuna kitu kamoja tu kinapumulia juju tu
 
WE NAEEEE!
ah hata hunogi kupanga hoja !
hoja zako nyepesiiiiiiii!
 
Kama unaona badala yakumwambia mumeo na mkae mtatue tatizo wewe unaona kua dawa nikuchepuka,basi heri,utakua nawewe umeamua kuungana na maneno yangu yanayosema wanaume tuwachunguze wake zetu watarajiwa maana wengine wanakua na matatizo yakibaiolojia ambayo wao wanatakiwa kuitumikia jamii na siyo mwanaume mmoja,na wanaume amabao mwanamke anayechukua maamuzi yakuchepuka hovyo nikama kufanya mapenzi na wanaume wenye wake wanaojielewa lakini kwa wakati huo wake zao wanakua wamejifungua au ni wagonjwa wa muda mrefu,au wanaume ambao wamefiwa wake zao sasa wanakua wanapumzikia kwa wanawake wa kaliba ya wachepukaji huku wakitafuta wake wanaojielewa n.k
 
Amtakie saa ngapi wakati mchepuko umembana hela ya saloon na kitchen part wakati mke yebo zina mwezi na nusu
 
Wanaume siyo kwwmba tunasapoti,sisi tunakataa mtu kukata tamaa yakurekebisha ndoa yake badala yake anaungana na mwanaume kufanya mambo ambayo kwa kawaida yanamdhalilisha yeye pamoja na baadhi ya watu wanaojiheshimu,unajua kuna muda uko kwa rafiki yako ghafla unamuona mdada au mma anaingia kuchepuka chumba cha jirani,tena anafanywa hadi mmbo mengine yakudharirisha,yaani hii inafanya hadi uone aibu mwenyewe asikuone maana duuuh!
 
Kina Angela Merkel ni wanaume? Kama unazungumzia wanaume viongozi wa afrika hapo hakuna.cha kujisifia coz hawawezi simama na wanaume kamili waliofikisha nchi zao kwenye maendeleo bado tuko kwenye Lindi LA.umaskini hakuna cha kujivunia.
Unapofanya mlinganyo,jaribu kuangalia mazingira,Angela yuko Ulaya kwenye mazingira tofauti na Afrika,sasa usitake kuishi kiulayaulaya wakati uko huku,watu watakushangaa,ila ulaya ungepongezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…