nao
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,831
- 1,941
Hahahaha hatare sana.Kwa mara ya kwanza naona ukimwi umekumbukwa kwa wingi kwa thread inayohusiana na kuchepuka.
Wanaumeeeeee!
Hahahaha hatare sana.Kwa mara ya kwanza naona ukimwi umekumbukwa kwa wingi kwa thread inayohusiana na kuchepuka.
Wanaumeeeeee!
Culture is dynamic mpendwa. Hata wao wangekuwa zama hizi wasingekuwa kama vile walivyokuwa zama zile. If you want our moms then be our dads.Conducts zibaki zilezile.. Achaneni na Western culture.
Au na nyie mnataka muanze kuishi na mbwa..
Anaijua. Yupo hapa kwenye huu mjadala!Mumeo hii Id anaijua? Au ukisikia honi una sign out??
We ulivyotorosha tulikaa kwenye majadiliano gani? Subiri nikakusanye kwanza nguvu za majadiliano nitarudi.asanteee mpaka ikishindikana.
kwa namna hii espy atalia, ye anataka tu kutorosha tunu za taifa bila majadiliano
Watuombee tu na wawe wavumilivu.Kweli aiseee tunahitaji maombi yenu sasa!
Huu ni ushauri WA shetan wala sio wako wewe unatumika tuwanaume hapa wanakupinga sana,kisa umefanya wewe mwanamke ila angekua mwanaume mwenzao ndo kafanya hivi wangempongeza na kumwona mjanja.....
mama just do what makes you happy katika maisha yako ila tu uwe makini na magonjwa,yani kabinadam kamoja ndo kakukoseshe amani mtoto wa watu loh...u deserve better mama...
Sio utani ujue!! Hivi wewe shetani unamjua au unamsikia sikia tu!!!
we leta utani tu...!!!
Mwenye maamuzi ya kutumia condom ni mwanaumetumia condom tu
kisia kawaweza!Hadi Mungu,heshima na uvumilivu umekumbukwa leo.
Kwani mume alioa mchepuko? We hebu usivunje ndoa ya watu wakati sasa hivi ina amani kabisa.Fanya utaratibu wa talaka muachane kabisa ili mchepuko akuoe kabisa, ndo utajua maisha ni nini
Hata mwanamke ni masikilizano tuMwenye maamuzi ya kutumia condom ni mwanaume
Mkuu mimi babu yangu na baba zangu wakubwa walimwachaga bibi zetu kijijini na wao wakawa wanatembea kusaka maisha mijini.. Mara Nairobi, mara Mbeya, mara Dodoma kama mnavyojua maisha ya wazee wa zamani wa kichagga yalivyokuwa. Tena akienda huko anakaa muda mrefu na mawasiliano ni barua tu tena mara moja kwa mwezi..Culture is dynamic mpendwa. Hata wao wangekuwa zama hizi wasingekuwa kama vile walivyokuwa zama zile. If you want our moms then be our dads.
Yes, nae atulie nyumbani alee watoto huku akiniombea aone raha yake.![]()
![]()
![]()
halafu akipata ndiyo unachepuka safi
Hapo sasa tutakuwa na mjadala mujarabu kabisaaa, hata tukijenga tena lazima nyumba isimame.Na mvua itunyeshee na wadudu watule ha ha ha
hahahahaha nafunga mjadala...Anaijua. Yupo hapa kwenye huu mjadala!
Sasa kwa taarifa yako wale wazee waliokuwa wanabaki kule walikuwa wanapiga kwa kisingizio wanatafuta mtoto wa chunguMkuu mimi babu yangu na baba zangu wakubwa walimwachaga bibi zetu kijijini na wao wakawa wanatembea kusaka maisha mijini.. Mara Nairobi, mara Mbeya, mara Dodoma kama mnavyojua maisha ya wazee wa zamani wa kichagga yalivyokuwa. Tena akienda huko anakaa muda mrefu na mawasiliano ni barua tu tena mara moja kwa mwezi..
Sasa kweli mnataka na sie tuishi hivyo? Wewe utavumilia mumeo kukaa nje ya nyumbani nusu mwaka mpaka mwaka bila ya kuonana? Yaani mnavyosema utafikiri vile baba zetu walikuwaga wazuri sana..
nimependa hako katoto kwenye avatar yakoHahahah... Afu mm sielewag kwann wanaume wanapenda kugeuzia wenzao makosa