Kuchepuka raha

Vijana hao nao unawaitaje?
Yaani cha kukufanya uchelewe kuoa ni nini haswa? We sema bado haujakuwa bwana.
Na uhakikishe umekuwa na una akili zako timamu ndio uoe msijekujifanya watoto na midevu yenu ya kila mahali.
 
Kama ndivyo,kikubwa nikumrekebisha siyo kumlipizia kwakulala na wanaume hovyo,kwakweli watoto wanakua wanajisikia vibaya sana,hasa mama akiwa analala na watu hovyo,inakua inaumiza sana,sijui lakini kwa jamii nyingine.
Kwanza mama halali na watu hovyo hovyo, pia hawaagi watoto kuwa anakwenda kupata tulizo.
Anakwenda kwa muda wake na anarudi kuhudumia familia yake, kwahiyo usihofu kuhusu kujisikia vibaya.
 
kama umekubali kubanana ukikanyagwa kaa utulie.


apo nyumbani umefuga kuku umeleta mitetea saba jogoo mmoja..

umeshindwa kuchukua hako kamfano?
Kumbe tunahangaika na nyie bure mweeeeh!! Kumbe akili zenyewe ndizo za kuku
 
Ntachelewa kuoa kama ndiyo hivi,siwezi nikawa na mwanamke mzinzi,anashusha sana personality na anaaibisha sana ndugu zake hasa wanapoambiwa 'dada yenu yuko gesti au kwenye chumba cha msela anapiga kelele kinoumah'
Usichelewe mkuu, we usioe kabisa. Ukiwa mzinzi utampata tu mzinzi mwenzio ili maisha yawe rahisi.
 
Chi ndio hapo chacha, yaani hapo mambo yanakuwa saaafi kabisa.
 
Na mimi nipo single mkuu njoo na kwangu asikusumbue kabisa.
Lakini hebu mjaribu huyo mchepuko kuwa umeachika unataka kuhamia kwake, Akikataa njoo kwangu nitakupokea.
 
sawasawa
 
MWENZANGU WE KAMA UMEKUBALI KUBANWA ,BANWA TU!
Kubanwa banwa kwenyewe maswali si akirudi anakuta upo mng'avu anaanza kujishutukia fuatilia wanaume wasio ridhisha wake zao wanawivu sanaaaaa
 
Umeonesha busara hadi nimetamani kuwa mchepuko wako, naomba nafasi tafadhali.
Thanks in advance
 
Yani hapo hiv sasa ivi unakuja nayo nyumbani kwani hakuna pa kumshtakia kama unamkuta na ushaidi ? Hilo siyo jawabu cha msingi kaa na mumeo mjemhe maisha atabadilika tuuu
 
Km unaona ya mumeo ni kibamia basi wewe utakuwa una bwawa ndio maana unahitaji miti na mawe yaingie humo ndio bwawa lijae!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…